eti SWEETY,CHOCOLATE&HONEY
Vitu hivi havizidi hata 1000 dukani, hamuoni kuwa ni kuwashusha hadhi???
*waiteni vitu majina ya vitu vya garama angalau ili kupandisha hadhi ya mpenzi wako,
*Muite...
Kama unataka kunywa kinywaji chenye kilevi ukiwa nyumbani hili usiboreke na kilaji kipande kwa raha mustarehe sikiliza ngoma hizi..
Ferre gola Kamustra
Ferre gola Kilo 100
Koffi papa plus
Koffi...
This is an opportunity for you to make some free money and earn upto $2k-$10k in just 24hrs with your bank account. When you sign up you get a free $0.85... so why havent you join...
Habari za muda huu Wakuu.
Natumai mu wazima wote.
Uzi huu una lengo kuu la kutoa nafasi kwa kila mmoja mwenye mawazo chanya au ushauri unaoweza kumkwamua mtu yeyote humu aliyekwama katika nyanja...
Jana muda wa lunch nilikuwa city centre. Kuna mama ntilie anauza chakula kitamu sana pale city. Licha ya machalari, chapati kuku wa kienyeji na mchicha huwa ninapenda maharage yake ya nazi...
Wanawake ndio watu mnaoshinda sana jikoni.... Pale unapochemsha maziwa jikoni ni kwanini yakianza kuchemka huwa yanajaa hadi juu ya sufuria.... Mbona ukichemsha chai huwa haijai kama maziwa...
Ni hivi, jamaa ( mwanaumee wa dar) aligundua mke wake anacheat na akaamua kumfukuza. Mwanamke akawa mpole na kuomba msamaha huku akimpiga. Mwisho wa siku akamfukuza mwanamke kwa matusi ya ajabu (...
Mfumo wa uendeshaji wa shughuli za shule upo tayari kwa anae hitaji tuwasiliane umetengenezwa from the scratch pia napokea oda za kutengeneza mifumo mbali mbali kutokana na mahutajii ya...
Natumai u mzima wa afya kabisa pamoja na wote wanaokuhusu
Kama kweli yaliyomo yamo kupitia threads zako basi nahitimisha kuwa Wewe utakuwa Ni Mama bora kabisa hasa kwa mabinti zako👏👏👏👏👏
Lengo la...
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!
Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but...
eeebanaaae!! ama hakika warembo wengi wanakuja PM wakiniambia wanapenda Jinalangu mazeee,.
duuuh! kuna demu mmoja hivi eti ananiambia anapenda niwe rafiki yake tuu lakini tusiwe na uhusiano wa...
Rafiki zangu wapenzi, leo sitakuwa nanyi, napanda Mlimani kufanya Meditation ama kwa Kiswahili huitwa TAHAJUDI au TAFAKURI KINA (deep thinking).
Kupitia meditation, nayarudia mapito yangu yote na...
Kheri iwe pamoja nanyi ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mwenye umri 20s nina ndoto na nia ya kuwa Tajiri(Financialy), Nahitaji kuwa Tajiri yaani kuwa na Pesa ndio Furaha yangu....sihitaji kingine zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.