JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Niliwamiss Demiss miyee loooh! Huu uzi nimeuanzisha maalumu kwa ajili ya wanajf wa Dodoma makao makuu. Hapa tutasaidia kutaja sehemu mbalimbali kama vile; 1.Bar zinazobamba kwa sasa town...
24 Reactions
478 Replies
30K Views
Kwa haraka haraka unadhani Ni neno gani Hawa jamaa watashindwa kutaja Kwa usahihi!!?? Ukiondoa neno PEPSI
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Shida ni wakati wa kushuka>>>>> Decrease me Underground me Leave me alone Subtract me from your car Put me down Floor me Remove me pls Send me out Chase me please Throw me away I stay here Drop me...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Natak dem nimwoe
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Mmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ex wangu natamani upigiwe simu njiani, Ukipokea kibaka akupore simu, Ukianza kumkimbiza ugongwe na gari🚘 Ije Ambulance🚑 ikubebe ifike Darajani idondoke wenye Makorongo upasuke kichwa ubondeke...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
No animal or car can run faster than a girl with makeup when it suddenly starts raining...
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Gari langu la kuni nataka kuwakodisha lumumba streat kama kuni za kuwashia moto hazitoshi nimeandaa mzigo wa maana nasubur bwana mdogo arudi china tuendelee kuchochea moto tu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Leo nilikuwa katika mizunguko yangu ya hapa na pale humu jijini Dar,katika kipindi hiki cha mapumziko Lakini alasiri hii nikiwa duka moja huku kawe kuna wanaume wawili wamenifuata wakiniambia...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
...Akiwa KITANDANI AKIWA ANAFIKIRIA KITU..... Mke akawaza, """mbona baba Fidodido sio Kawaida yake kuwa kimya kiasi hichi"""..... ""Kwa nini ataki kuzungumza na mimi wakati sio Kawaida yake ?""...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna ukweli happy?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
I thought we are here on Jamiiforums for jokes and sharing ideas through a particular forums. But some people are actually meeting and having sex behind our backs.
1 Reactions
30 Replies
1K Views
*[emoji117]Daftari la Mwanawe Mkubwa hakulipenda,* *"Kwa hasira Akamfokea sana,"* *Wee kwanini hufanyi vizuri Shuleni?* *Huna Akili wee* *[emoji117]Akachukua Daftari la Mdogo* *"Vile Kulitazama...
9 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa walio online comment 2chat
0 Reactions
2 Replies
592 Views
Wakuu Leo nilikuwa na laki moja na elfu 47,nimeiteketeza yote.kivipi?kihivi! Leo nilikua nakunywa pombe za kistaarabu heinikeni nikanywa vingi tu kwenye grocery fulani sasa nimewakuta mademu...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni thread special kwa vituko vya daladala Leo bhana.... Yale...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
1. Viatu huisha upande mmoja 2. Kushabikia YANGA 3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe 4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa. 5. Kufungua soda kwa meno 6. Kuvaa...
12 Reactions
67 Replies
8K Views
Ni vocha ya vodacom ya buku 2. Uzi tayari. Cc manengelo Updates AIRTEL UPDATES vodacom ya BUKU MOJA. UPDATES HALOTEL BUKU 2
5 Reactions
186 Replies
12K Views
Ni neno lipi la kiingereza lilikua tabu kwako kutamka kipindi ukiwa form nyoya a.K.A form one Mimi ilikua ni Characteristics na Archimedes principle
5 Reactions
159 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…