Kwa mfano kitabu kina picha iliyokugusa au Picha iliyokukera kabisa na mengine mengi yanayofanana nayo.
Ni kitu gani kilikufanya usome kitabu hiko?
KARIBUNI
Tembea uone,ilikuwa maeneo ya Nangurukuru mwaka 2008 nilibanwa nikaomba msaada wa haja.
Kipindi hiko hakukuwa na utaratibu mzuri wa sasa gari zote zinapaki hotelini.
Jamani wadau haya mambo...
Unajua bwana sisi tuliozaliwa vijijini tumeexperience maisha flani honest sana, yaani maisha yasiyo na unafiki wala makandokando, ila katika harakati za kusaka life huko Mijini, uki apply uhonest...
Habarini za uzima enyi raia za umu ndichi...Naam kumekua na wimbi la ma'manzi shazi kutu-cheat sisi machalii,Hakuna kitu kinauma kaa mamiloo wako kabisa kuku-cheat hadi unajiuliza kwangu anakosa...
Ukitaka kujua jinsi gani wanawake (ladies) huwa wanafikilia deep...cheki tuu siku ya maadhimisho yao tarehe 8,march
kwanini tarehere 8,(iyo nane viiipi😂😂😂)
HAPPY WOMEN DAY...WE LOVE YOU🏵🏵
Wasalaamu kwenu wazee wa vyomboz,
Uzi huu ni maalumu kwetu tupeane ma experience ya utamu, kero za masanga aka vyombo.
Beeers zimeshuka bei ila zina hangovers za hatarii ahsubuhi , kichwa...
Kuna watu bangi zimewapa maisha lakini kuna wengine zimewaharibia maisha yao yote!
Bangi za zamani zilikuwa mbaya sana! pafu moja tu inamkaa mtu miaka saba! ni tofauti sana na hii...
Oya niwaambieni kitu Kuna nyimbo za kibongo ambazo mkiwa mnafanya mapenzi usiku zinaamsha popo sana
1.iokote-mausa sama
2.ona Sasa ona,ona Sana ona-richard mavoco
3.ninogeshe-nandy
4.kassim...
KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna...
Habari za asubuhi,
Niende moja kwa moja kwenye mada, dada yenu siku za karibuni nimehamia mtaa wa saba sasa hii nyumba ina pande mbili...upande wa mbele wanakaa wawili na upande wa nyuma tunakaa...
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi...
Amani iwe kwenu.
Si vibaya tukakutana na ndg na marafiki tuliopoteana nao.
Binafsi kuna watu nawasaka sana. Yaani nimewagoogle kila kona bila mafanikio, mwingine nikamkuta Facebook lakini...
"Ukweli mchungu
Iwapo unawapenda watoto wako, tafuta biashara, si kazi, kwa sababu ukifa watoto wako hawawezi kurithi kazi yako, lakini wanaweza kurithi biashara yako. "Kiuhalisia, ukifa unafanya...
Unakuta baba jitu zima limekaa bar..mezani limetandaza juice ya miwa(Serengeti lite).
Bia yenyewe inauzwa 1500..jamani..kunyweni Heineken.. Windhoek.. Acheni kujaza tumbo na mi juice
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.