JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni kituoni Simu2000 ama hupendelea kukiita zaidi Mawasiliano, tumeketi vyema tukisubir daladala mbali kidogo na hapo tulipoketi kimesimama kibao wima mithili ya mwanajeshi achezaye kwata juu yake...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Huwezi kufananisha Moshi na sehemu Kama mwanza.hii Ni kwa sababu Moshi yote ametapakaa mchaga.hakuuzii ardhi yake kizembe.anaweza akawa ana nyumba na asikupangishe akigundua we Ni mtu wa kabila...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
There’s no way that your birthday can be as happy as you make me. But I hope it’s close! Be who you are, because who you are is amazing. Happy birthday to my best friend and the father of my...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona. Natoa ahsante nyingi kwako MwanaJF ambaye uko Moshi, ulivyonipokea kwa ukarimu wa hali ya juu. Nasema kutoka moyoni nimefarijika sana. Ulitenga...
19 Reactions
322 Replies
11K Views
Ewe ' insect ' uliyopo Tanzania najua fika kuwa tokea uingie mwaka 1981 umekuwa na hasira nasi Wanadamu ila nisikufiche kwa sasa unatuudhi kwani huwachukui Watu kwa mpango ' Maalum ' na kila mara...
4 Reactions
5 Replies
920 Views
Oi tuchangamkeni watanzania jumapili Kama hizi Ni siku za kuchangamka,TUnataka tujuane kwa kazi taja: vifaa,tools, devices, items tatu(3) ambazo una deals nazo Sana ukiwa kazini kwako.members wa...
2 Reactions
115 Replies
6K Views
Najua kabisa kama mimi watakuwepo wengi tu, tunaohangaika kwenda kujaribu life nje ya nchi. Katika pita pita zangu nmekutana na makampuni yanayosaidia kupata scholaship(Moja kati ya njia ya kwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu uzi ni special kwa ajili ya wanaosafiri wiki hili,tukutane hapa tupeane moyo na kuombeana mema Maana kwa hali ya madereva wa mabasi ya mikoani hasa wa New force inabidi tu tukikabidhi kwa...
1 Reactions
9 Replies
943 Views
Nipo Zenji kwa siku ya 5 sasa bado nyingine 5 Kwa hakika Zenji Japo ni Padogo lakini MashaAllah imebarikiwa jaman Unguja kuna vivutio vingi vya kukufanya upende kukaa zaidi, kwa hakika Japo bado...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani . Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company.
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu!! Mwenye nakala halisi ya hukumu hiyo naiomba aisee....iwe PDF file.. Picha n.k Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Ilisemekana nyie ndio mliotudanganya mkatuonjesha Lile tunda ambalo ndilo limetufikisha hapa tulipo.hio ndio habari ambayo tumeachiwa toka enzi.sasa nataka nijue huwa mnawaza Nini kuhusu Bibi yenu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukinipa simu yako niishike au niikuta simu ya mtu yoyote huwa naelekea chrome history kuona huyu mtu atakuwa Ana search vitu gani.mara nyingi nachokitafuta Ni kujua Kama huwa anaangalia video zetu...
7 Reactions
91 Replies
14K Views
Kiooo kiooo alikivunja nani, simjui simjui wa mwisho akamatwe atiwe gerezani..... Huu mti gani wa mchongoma, nikiukata haukatiki, hata kwa shoka haukatiki, hata kwa panga haukatiki, hata kwa jembe...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye...
20 Reactions
739 Replies
35K Views
Sisi tuna enjoy shida iko kwenu.
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwenu wadada mnaopenda kufakamia savanna, msifikiri ni sifa kufakamia mi savanna, hapo mjue mnafakamia mi sukari tu ambayo inahatarisha afya zenu!! Utakuta mdada anafakamia misavana kama ameambiwa...
7 Reactions
103 Replies
13K Views
Kuna watu ambao hata Kama sijaelewa alichoandika au sikubaliani naye lakini lazima nimpe tu like [emoji106]..kwa jinsi tu wanavyowasilisha wananishawishi Sana.nashindwa kabisa kuwanyima like...
12 Reactions
114 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…