This is the day we met here in jf Smart911 and now u are my true love of life which I found on this day I can't wait to give u something special in this happy 2nd anniversary of our blessed...
Roho inaniuma sana,nimeathirika kijinga sana
Yani niliomba sigara kwa demu flani club kupiga mistari kadhaa kumbe yule demu ni muathirika na alikuwa na michubuko mdomoni
Asa na mimi nilikuwa na...
"More than 1 billion young people globally risk developing hearing loss through exposure to loud music through personal audio devices.”
Zaidi ya vijana Bilioni Moja duniani wako ktk hatari ya...
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha
Wale wa Toyota Kluger hasa...
Wale Wanaume Wenye Account Za Jamii forums Zenye Majina Ya Kike Na Wanaekti Kama Wanawake Basi Kwa Moyo Mmoja Kabisa Nawatakia #HappyWomensDay2019
Na wale Wanawake Wenye Ndevu Siku Ya Leo...
Kila ninapo peruzi post za watu mbali mbali, mara kwa mara watu wanaitana mkuu, so i got a question, how many wakuu do we have here?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wandugu eti kwa nini paka akiuliwa na mtu mzima huyo mtu maisha yake yanaharibika na kuwa mabovu sana?
Maana inashauriwa kama kuna paka inabidi auliwe itabidi aitwe mtoto ambaye hajabalehe...
Kaulimbiu ya Sasa siku ya wanawake duniani ni. _*Badili Fikra Kufikia Usawa wa Kijinsia kwa Maendeleo Endelevu*_ Usawa wa Kijinsia ni hali ya upatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali...
Wakuu toka mwezi huu uanze nimesikia vifo vya watu ninaowajua Zaid ya 10.hali inatisha Sana naona watu wengi Sana wana danja.israeli hajatumwa kumaliza Tena watu kwa gharika au Moto Sasa hivi...
Hakuna aliyewahi kufa akarudi akasimulia yanayoendelea Kwenye roho baada ya kufa.ila mimi Nimekaa nikazichunguza kweli za kimaandiko nikatambua hali tunayokuwa nayo baada ya kufa na Sasa...
Tuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Baada ya kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara kutoka kwa immune system ya mwili mzima. Wabaya wake kumbe wanamsubiri kwenye shingo.
Ni lazima shingo ipitishe muakilishi kwenda kichwani...
Wazungu wametengeneza simu ambayo unaweza kuongea na mtu aliye mbali hata kwa video chat mkaonana halafu hii tunaita technolojia, lakini bibi yako kijijini akitumia kiyoo kuongea na mwenzake au...
Habari wana jf nilikua naomba kujua namna ya kupata taarifa za mtu kama vile majina ya wazazi wake na information nyingine kwa njia ya mtandao je nim search wapi ili nione information hizo...
Habari zenu
Kama kichwa cha habari kinavojieleza,joto la dar limenichosha nahitaji kutoka hata kwa siku tatu nipumzike niende mkoa wowote wenye hali ya hewa nzuri..
Inshort mimi sio mtembezi sana...
Je unapenda kumpa mtu yeyote tuzo ya taifa Kwa matukio yake anayoyafanya Kwa jamii ?
Kazi kwako kutiririka.
Wakwangu natoa Tuzo za taifa kwa hawa watu.
__Piere liquid huyu nampa Tuzo ya mlevi...