Ni kuwa tumekatazwa kumtaja Tundu Lissu kwani kila linalosemwa juu yake hulijibu siku hiyo hiyo na majibu yake yanaichafua serikali.
Sasa hivi tuna Kiu sana ya kufahamu harakati za upinzani...
Kusema ukweli Jf tunachukuliana utani lkn naamini kuna watu humu tume specialized kwenye secta mbalimbali
list secta ambayo ume Specialized ili siku mtu akikwama sehemu kwenye secta yake aja...
JF raha bhana.Kuna kipindi unakutana na majibu ya kiduanzi,nyodo,makuzi,ucheshi n.k ambayo hutokutana nayo sehemu yeyote ile.Kama ulikua umenuna inabidi ufumue kicheko tuuu.Ukiyaona hebu...
Kama unafanya kazi sehemu na umekuwa ukilipwa ujira mdogo ambao unaona kabisa haukidhi mahitaji yako!na boss hana mpango wowote wa kukuongezea mshahara Fanya hivi!
Fungua kampuni yako ujilipe...
Ili utajirike lazima ufaham mambo makubwa mawili....
Mambo yenyewe hata siyafaham ndo maana sijatajirika......[emoji13] [emoji13] Tuendelee kuangaika tu ndugu zangu hakuna namna.....[emoji23]...
Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!
Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo...
Kesho nina mgeni katoka town anakuja mkoani tumefahamiana humu humu jf ata wiki haijafika toka apost anataka mchumba duh kaniamini kiasi hiki ngoja nimpokee tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kajamaa flani kauza chips kanasifika sana humu kwa mada za mahusiano yasiyo rasmi na kamejiapiza kuzaa watoto wa3 kwa wanawake tofauti mwaka huu. na kanadai tayari mmoja ameshapata ujauzito...
Nakumbuka tuliwahi kuagiza beki 3 mkoani morogoro vijijini tukaambiwa huyo binti ana miaka 18 kamaliza form four binti kufika anaonekana ana miaka 13 na hata kukaa na watoto hawezi.
Kuna mmoja...
Habarii
Jana niliulizwa maswali kwenye uzi flani as HardTalk Bahati mbaya sikuweza kuyamaliza yote kutokana na simu kuisha chaji. Hivyo basi Ningependa kujibu maswali yote yaliyobaki na kama kuna...
Wanajamvi za usiku huu
yaani katika vitu huwa vinaniletea hasira huwa ni kitendo cha mtoa uzi kuleta uzi bila kuwa na viambatanishi vya kusaidia uzi wake ili wazeee wa kushadadia tushadadie kwa...
Uchunguzi huru:
Unaonyesha kuwa "ROHO MBAHA" ya kutokupenda mtu mwingine kuendelea (90%) inaweza kuwa sababu kubwa ya watu kuendelea kusotea umasikini. Mfano tu leo ukitaka kuanzisha kiwanda...
Mwanamke mmoja tu yenyewe lakini Ni Kama vile anataka kunishinda.tatizo kubwa lipo mfukoni sina kitu sina hela,nina wallet tu nimeijaza makaratasi ukiifungua hakuna kitu.
kwa mfano sasa hivi hapa...
Swalama?
Nimepita njia ya morogpro juzi,dah!mji umefika chalinze,mwezi uliopita nilikuwa Nangwanda huko! mmmh sikuona mwanzo na mwisho wa mkuranga na daresalama! Kwa habari ya Bagamoyo tusiongee...
Nianze kwa kuwasalimu wakuu!
Ebwana kumezuka kamchezo fulani mitaani especially uswahilini na kwa ushuhuda wangu nimeshaona matukio kama hayo zaidi ya matatu.
UTANGULIZI;
Kuna baadhi ya wazazi na...
Na wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia...