Habarii wakati mimi na ww tukitumia asilimia 10 tu ya uwezo wa ubongo wetu lakini chini ya jua hili hili kuna watu wanatumia 100% ya ubongo wao.. imewasaidia kufanya mambo mengi magumu kwa...
Kama kichwa cha uzi huu kinavosema, unaweza kushare movie au series yoyote na mahudhuhi yake kwa kifupi.
Ili kuwapa chachu wale ambao si wapenz sana wa kuangalia filamu kutokana na kushindwa...
Tunaotoka mkoa wa MARA
Kwa neema za Mwenyezi MUNGU wanajamii forum wote mu wazima wa afya
Jamii forum ina watu tofauti tofauti kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini
Leo naomba kwa wale wote...
Kwetu hali ni mbaya sana ...
Kijana ukifikia miaka 15, unavishwa kakofia .. kofia hiyo inakusababishia matatizo makubwa sana. Huwezi kuuliza swali lolote .. na hata ukiuliza ukajibiwa huwezi kujua...
Kila mtu angeambiwa ataje mentor wake wa hapa JF Mimi watu wangu ambao Wana mchango mkubwa Sana katika maisha yangu na nimeguswa Sana kwa namna walivyotupatia msaada kupitia thread na michango yao...
Home of great thinker. Nimejaribu kujifanyia karesearch kadogo tu na haya ndio niliyoyabaini.
-uenda Mimi ndo member pekee wa Jf nayeishi Tanzania Ila sijawahi fika bongo Dar es salaam
-yawezekana...
Mtoto (dogo)-- Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne (4) kwani hili la tatu (3) halinifai
Mwalimu-- Kwanini unasema Hivyo ?
Mtoto(dogo)--- Nina Akili nyingi sana .
==BASI MWALIMU AKAMUELEZA...
Eti wananzengo sijawahi kunywa hata kizibo(sijisifii) ila watu wangu wa karibu wengi wao wanywaji wazuri tu.
Kuna muda natamani kuonja ila nafsi inagoma kabisaa yaani!
Utakuta nimekaa na washkaji...
Nimeanzisha uzi huu kwa maslahi yangu binafsi.
Kama ulishawahi kuanzishwa mfano wa uzi huu,mnaweza kunitupia huko kunako husika nikajionee mwenyewe.
Narudia tena nimeanzisha uzi huu kwa maslahi...
Stress ni nini? stress ni pale unapotoka kwenye pepa la mathematics alafu unasikia wale vichwa ya Hesababu wanabishana , mmoja anasema "Pale jibu ni -2" mwingine anasema " Jibu ni +2"
Alafu wewe...
Niliamua kuacha uhuni nikatulia sasa nikapata ka dem ka staarabu kazuri ,kanajielewa kununa hana iyo system ,nikafurah nikajisemea rohoni hatimaye nmefka ,nimfanye mchumba then wife to be ,kama...
Aman iwe juu yenu wakuu
Nimekuwa nikijiuliza hawa wadada new member humu jf wametoka wapi mbona zaman hawakuwepo au walikuwa hawaijui jf?
Na ni kwanini wengi wanatafuta waume yaan ndoa? Ukienda...
Ilikuwa jioni tulivu , Kijana maridadi alikuwa ndani ya gari lake. Njiani ghafla alikutana na paka mdogo katikati ya barabara. Huruma ikamjia akapaki gari lake pembeni akamwendea yule paka...
MKAZI wa Mgoweko Wilayani Gairo Mkoani Morogoro Shani Suleymani (35) amekamatwa na Polisi na kufikishwa Mahakamani akidaiwa kufanya shambulio la aibu kwa kijana mwenye umri wa miaka 12, ambaye ni...
You did not choose your:
1 birthplace
2 skin color
3 birth parents, family
4 birth gender
5 birth language
6 birth name
7 ethnicity
8 born abilities
You can choose to be:
1 kind
2 generous
3...
ANYTHING THAT ANNOYS YOU
is teaching you patience and calmness.
Anyone that abandons you is teaching you how to stand up on your own feet.
Anything that offends you is teaching you forgiveness...
Haya jaman wapendwa leo kuna vocha ya elf 5000 kwa yeyote atakayecomment kuhusu Demiss na hiyo comment ikavunja rekodi ya like nyingi.
Ongea chochote kuhusu Mimi hapa kadri uwezavyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.