Salamu wana jf.
Kuna baadhi ya posts nimemsikia kiranga akisema huwa anakwenda kanisani kuudhulia matukio mbalimbali ikiwemo ndoa.
Leo kwakuwa ni juma pili nimejikuta nikijiuliza, kiranga...
Aman iwe juu yenu
Je unataka manzi? Je unataka mchuchu mkali wa geti Kali na mwenye kujielewa? Hujachelewa Mzazi Leo nakuibia siri ambayo naomba uitunze sana
Siri ni moja tu Mzazi nenda kwenye...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Wadau za pilika zinasemaje?
Kuna dada yangu mmoja kutoka kolomije anaitwa nalendwa huyu dada ni mrembo lakin...
Inasemwa kuwa “wewe ni kile unachokula” kwa kumaanisha kuwa mwonekano wetu na afya ya mwili na akili unajengwa na chakula tunachokula. Madhara ya chakula chetu tunachotumia yako pia katika ngozi...
Jaaaaaaaaaamaaaaaaani SINA ajiiiiiraaaa
NAOMBA MHESHIMIWA RAISI WANGU MZURI WA TZ anichague na mimi basi aniweke popote tu hata kule CCM hamna shida nitakaa
Mimi napenda Kazi sina masihara
YESU...
Kila akihojiwa tu na Waandishi wa Habari lazima utamsikia akitamka maneno ya ' Mboo ' au ' Boo ' huku mara kwa mara akitamka neno la ' Meee... Meee ' tena Kidharau kabisa hali ambayo inaonyesha...
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku,
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Nalendwa kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa...
Wanaume wa Dar vs Wanaume wa Mikoani
Messi Vs Cristiano Ronaldo
Diamond Platnumz vs Ali Kiba
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hizi battle hazijawahi pata mshindi
Sent using Jamii...
Nakuletea stori yangu ya ulevi niliofanya kuanzia pombe ya kwanza Hadi Leo hii
1.nilianzaga na mtukuru huko mkoani singida huku nikionja onja bia pia na zile mbege.nimeanza kugonga rasmi 2009...
Naomba Msaada kwa wenu kwa wale wenye uzoefu na hili jambo,
Nimeshinda iyo dv lottery 2016/2017 nilichaguliwa kwenye second selection September,
Sasa Nipo njia panda niendelee na process au...
Habari,
Tungependa kujuzana vitu vya kipekee vinavyopatikana Tanzania. Tafadhari tunga sentesi inayo anzia na neno ni Tanzania pekee
Mimi ninaanza kwa kusema ni "NI TANZANIA PEKEE KUNA JAMII...
Tulitaarifiwa kuwa, serikali imeamua kununua korosho kutoka kwa wakulima kwa bei ya Tsh 3,300/=. Soko tulihakikishiwa kuwa zitatolewa kama vitafunwa kwenye ndege. Pia raia wote tutauziwa kilo...
Natumia simu aina ya Infinix zero 4. Kwa anaefahamu anisaidie namna ya kuweka fonts kama za Samsung.... Naomba kwa anaefahamu anielekeze
Sent using Jamii Forums mobile app
You and I must make a pact, we must bring salvation back,
Where there is love, I'll be there.
I'll reach out my hand to you, I'll have faith in all you do,
Just call my name and I'll be there...
Wanawake wa Zamani Walikuwa Wakiamka Baada ya kazi zao Nyingine Wanawasha Moto na Kuanza Kupika Chai Lakini Wanawake wa Sasahivi Wakiamka Wanawasha Data Hata Mswaki Hawapigi.
Sehemu gani nzuri kwa kula Bata na kujiachia na bebez MTWARA?
Nielekee kwenye point direct.
Baada ya kutoa bango langu la kutafuta mzee kibosile, mwenye pesa isiyokuwa ya mawazo mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.