Tuambiea kitu gani hutokisahau maishani mwako.mie sitosahau kipindi nipo darasa LA pili tulikuwa paredi tunaimba wimbo wa taifa gafra mkanda ukaachia kaptura chini yote daa sikuwa na kinyongo...
Hapa kama una couple usitaje mpenzi wako bali tutasemea kuhusu kuvutiwa na member wa kiume kutokana na anavyoshiriki hapa Jukwaani.
Demiss mm nampenda sana huyu member wakuiiitwa Mwifwa kuliko...
Heri ya mwezi mpya wa Novemba, 2017 wanajf.
Jana muda wa saa mbili usiku nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!
Nyoka wa kimo cha kati, mweusi.
Nimeshangaa...
Wazungu nawashangaa sana kuna mikoa na wilaya hamfiki kabisa wakati ndiyo inawaongezea kipato ktk nchi zenu mfano mikoa inayotoa samaki kama Mwanza na Kigoma na mikoa na wilaya mnazovuna madini...
Kulala bila kuoga ni tabia mbaya
Kulala bila kupiga mswaki tabia mbaya
Kuamka bila kuoga tabia mbaya
Kuamka bila kupiga mswaki tabia mbaya
Kwenda choo bila maji na kutumia toilet paper na maji...
Kama kawa baada ya kazi za mchana kutwa huwa tuna refresh mind kwa mitindo tofaut
Binafs huwa napenda muvi hasa tamthilia iitwayo sultana ndani ya azam two
Nadhani kwa wanaofatilia hii tamthilia...
Habari wana jf kama ilivyo kawaida ya vijana na mambo ya mahusiano kila siku.
Kuna mtoto flan hivi wa kishua kweli anakaa moshi na anasoma chuo hapo hapo moshi town.sasa wazee sijawahi kula uyu...
EDITED:
Mwalimu alisema laiti jana ingekuwa ijumaa,leo ingekuwa jumamosi.Mwalimu aliyasema maneno hayo siku gani?
Baada ya miaka kadhaa nakuja na ka update haka hapa chini,
UPDATE: Changamsha...
Nimetembelea beach niseme zote hapa Dar es Salaam, wanaotembelea either ni wanafunzi wa form 4, 6 get together, ma beki tatu na watoto wa mabosi zao, au washamba fulani waliotoka mikoani, au...
Wazungu nawashangaa sana kuna mikoa na wilaya hamfiki kabisa wakati ndiyo inawaongezea kipato ktk nchi zenu mfano mikoa inayotoa samaki kama Mwanza na Kigoma na mikoa na wilaya mnazovuna madini...
Habari wana jf
Ikiwa tunaelekea kumalia robo ya tatu ya mwaka 2018..pengine.....kunamambo yanaendelea kukusikitisha ......
....Binafsi hua nasikitika sana pale nisikiapo kauli ya Mwanasiasa tena...
My main aim is, uwepo uhuru wa mtu kutengeneza website, utafute watu wazawa ama watu wa nje ya tz, wacheze X then upost kwenye website yako watu waangalie then upige hela! i think ni wazo zuri...
Huyu ni member maarufu na mkongwe humu jf lakini kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu kapotea humu na hajapost wala ku comment chochote, na sio kawaida yake, kama yupo humu atujuze maana isije...
Mimi ni mdau hasa na mfuatiliaji wa kazi za wasanii mbalimbàli duniani,tangu utoto wangu nimeangalia kazi za ndani za wasanii na za nje toka Marekani,Ulaya,India,China na hata Korea zisizo na...
I feel like I can't hold it anymore!
Nipo nimejifungia ndani nina machungu yasiyo pimika. Najiuliza kwa nini Mungu? As i was getting myself together again, suddenly this happens.
Oh lord.