Jamani hivi huyu video queen wa ka Kayumba kwenye wimbo "Mazoea" huwa najiuliza huu urembo wake au nini? Maana yaani ameingia kwenye vigezo vyote vya mwanamke mrembo wa kuoa. She is the most...
Mimi nilikuwa nasikiliza sana Dr. Dre Chronic 1,2...Snoop Dogg Doggy Style...Fabolous....Tupac All Eyes on Me....Warren G Regulate...Jay Z Blue Print Vol 1,2,3...Naughty by Nature O.P.P. Hip Hop...
Hii ni kwa wale ambao walikua wakienda English Course kabla ya kuingia form one na wakati wa likizo..
Naomba muwasalimu sana hapo Uingereza. Natumai London karibu kipindi cha baridi kitaingia.
Natoa wazo binafsi kama mtanzania mzalendo, "Futeni uchaguzi wa jimbo la Liwale na zile kata 37. Pesa ya kuandaa huo uchaguzi wa marudio pelekeni rambirambi kule Ukerewe. Halafu hilo jimbo na hizo...
Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?
Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.
Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni...
imeshawahi kukukuta hiyo shababi mwenzangu? ukajikuta tu tango limenyooka sehemu ata haistahili? hukuaibika? au ile unasisimua mnara kwa mtu ambaye ni aibu kabisa, labda tu umeona nyeti ya ndugu...
Kipindi cha utotoni kimenifanya kukumbuka mambo mengi sana, utotoni nimekulia mtaa wa watoto watukutu sana Wakiislam, Mtaa wa Kilima-Nyihogo hapa wilayani Kahama, mkoa wa Shinyanga. Kulikuwa na...
jioni nilikula muhindi wa kuchemsha nikalala.. na minyoo pia tumboni wakala wakalala..
sasa nataka niamke taratibu ninyate nikale nyama choma! wasije wakaamka hawa minyoo
mimi sio mama yaoo...
Wazungu nawashangaa sana kuna mikoa na wilaya hamfiki kabisa wakati ndiyo inawaongezea kipato ktk nchi zenu mfano mikoa inayotoa samaki kama Mwanza na Kigoma na mikoa na wilaya mnazovuna madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.