Mpaka mda huu bado nawaza tu
Ila akili ikanambia niwashirikishe na nyie ili nipate jibu
HIVI TEMBO ANACHUKUA MIAKA MINGAPI KUOZA NA KUBAKI MIFUPA
pindi amekufa[emoji58][emoji58][emoji58]...
Habarini za mida wana jf,
Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi misita sasa na mke wangu mjamzito...
Habari ndugu, jamaa na marafiki
Nimetukanwa sana kwenye post zilizopita
But napoteza coz natambua ndo mambo ya kijamii tunapitia sehem nyng na mambo mengi pia
LEO NAWATAMBULISHA MZIGO MPYA KUTOKA...
MndemeImran✍🏿
Awali ya yote naomba kutoa pole zangu kwa Ndgu, jamaa, marafik na wafiwa wote wa Ajali ya Mv. Nyerere.. Taifa kwa ujumla tunaombeleza kwa uchungu msiba huu mzito uliotukuta...
Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba.
Haya tukalala kesho...
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2018. Piga kura kwa member unayeona anafaa tangu tuanze mwaka mpaka sasa napendekeza categories kama ifuatavyo then members unapropose nani anafit kuwa mshindi!
1...
-Je hy shule ilikua chaguo lako? Kwa maana uliichagua mwenyewe?
- ulikua na picha gani kichwani mwako kabla ya kufika hy shule?
-ulipelekwa na mzazi/mlezi au ulikomaa mwenyewe?
Habari wakuu, ni...
Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli
nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms
Kuna siku nyingine...
KAKA ZANGU [emoji1314]Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu
DADA ZANGU[emoji1314]Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu.....
ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU
Unatakiwa kuwa smart mwili roho hata vitu vyako
Simu zilizopasukapasuka vioo waachie wachimba madini na wagonga mawe
Unapata hela ya jinzi unakosa ya kubadilisha kioo cha hiyo techno yako
Nitarudi
miaka mingi sana iliyopita sina simu wala sanduku la barua,kuna kabinti nilikutana nako na kikawa nakachovya chovya,nafkiri kalikua katoto ka mpinzani mmoja che mponda kakiitwa mbesile.
basi bana...
Hivi wakuu nasikia kibamia kibamia je dushe inakua na sm ngapi ili ikidhi vigezo vya kuitwa kibamia[emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jirani yangu alikuwa anaumwa sana.. ikabidi amuite mganga wake. mganga akamwambia ugonjwa wake hauwezi kutibika.. njia ni kumrushia huo ugonjwa mtu mwingine..
akaambiwa mtu yeyote...
Huwa ninakereka sana na hili suala, pia linanipa shida kujua hasa lengo la wanawake walio wengi kushupalia kufanya hivi.
Wanawake walio wengi wakubwa kwa wadogo, wanatabia ambayo mimi binafsi...
[emoji813] Yupo kwako akitafuta sex.. Tu ..
Na kupunguzs stess zake.. Kwa hiyo utatumika kisha unawekwa kando
[emoji813]Kama ameweza kumsaliti mke wake.. Asilimia 100%haupo peke yako pia...
Hakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu.
Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu.
Nilipofika bariadi ni kisukuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.