Tukiondoa dar es salaam..kulikobaki ni mikoani??? Je Dar es salaaam sio mkoa??? Au mkuu wa mkoa wa dar ni mkuu wa nin [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] "wanaume" na "wanawake" "wa mikoani"...
Hapa jijini kuna watu wa makabila mengi ambayo ni wahamiaji ukiachana na wazaramo na wandengereko ambao kazi yao kubwa ni kucheza bao,ngoma,ukuli nk nk.
Sasa baada ya watu wa makabila mengine...
Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika...
Kila binadamu anapopata Nafasi ya kutulia hujiwa angalau na fikra na mawazo fulani yenye mantiki, labda ya kuwaza na kuwazua mafanikio aliyoyafikia na changamoto alizokutana nazo!
Nakaa...
Nimewaza hapa naona upishi wa ugali huwa unatumia nguvu nyingi sana na kuna kuwa na vurugu sana. Hamna chakula kinapikwa kwa nguvu kama Ugali.
Kwanza unakuta sufuria inabanwa kisawasawa na boi...
Katika maisha ya ujana hasa mahusiano kuna changamoto nyingi Sana tunakutana nazo.. Ilaa suala la MTU ulienae kwenye mahusiano kubeba Ujauzito na mwanaume hujajipanga Huwa linachanganya Sana akili...
Hii ni mara ya tatu ( 3 ) leo napanda Gari zile ' Eicher ' za Gongo la Mboto kwenda Ubungo SIMU 2000 halafu nakumbana na Abiria anayejamba ' Ushuzi ' mbaya utadhani ' dampo ' lote la Pugu lipo '...
WANAWAKE MUNGU ANAWAONA
CHECK WANAVYOPENDA uongo kuliko ukweli inbox(FB/TSAP
MSELA; oi niaje mchuchu? ?
Demu; p
MSELA; pande zip mrembo
Demu; mbagala
MSELA; nimekutamani sana mchumba hadi mzuka...
Maisha ya Uswahilini.
Unamwazima mtu sabuni ya kuoshea vyombo inarudi ina nywele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupia kituko chochote cha uswahilini kwenu
Mazungumzo ya vijana wa kileo kuhusu mahusiano.
BAE WAKE: Nakupenda kwa moyo wangu woote mpenzi wangu.
YEYE: Nakupenda pia mpenzi wangu.
BAE WAKE: Una ahidii kunipenda milele?
YEYE: YES...
Umepata chance ya kutengeneza movie inayohusu maisha yako, money isn't an issue, unaambiwa mchague mwigizaji yoyote yule, iwe wa hapa Tz au nje ya nchi atakaeigiza sehemu yako kwenye hiyo movie...
Jumapili usiku wa sa mbili hivi nilikwenda Stand Kuu ya mabasi yaendayo na yatokayo mikoani na nje ya nchi pale Ubungo ili kumpokea mjomba wangu aliyekua anatokea Tabora. Nilipofika pale...
Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa...
Habari wanajamvi?
Tanzania imebahatika kuwa na makabila mengi sana zaidi ya 100. Mababu zetu huko zamani walianzisha utani kati ya kabila moja na lingine ili kudumisha mahusiano mazuri pindi uwapo...
Natumai kuwa sote tumeamka salama salmini!
Shukran kwa mwenyezi Mungu
Pole kwa walio wagonjwa Na inshallah Mungu atawapa wepesi
Leo tupo Na mrembo geniveros
Twende sawa
DJ sepetu
Lady and Gentleman habali za asubui .Natumain mu buheri wa afya bila kupoteza muda niende straight to the point lakin mtanisamehe Sana sababu ya huu uandishi wangu kwakweli hata mm napata tabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.