JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Boxer ya MEN inauzwa imevaliwa mara moja tu, kama unahitaji nijulishe
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Achana na kabichi kwanza ukiwa na hela vyakula gani unatakiwa uvipige kwa wingi ili kufidia zile haso na misoto uliyopitia kitambo. Najua papuchi lazima zimegwe sawa tena ukianza na wale...
3 Reactions
161 Replies
10K Views
Natabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana. Msemo wenyewe ni huu. Fyekaaaaaa fyekaaaa fyekelea mbaliiiii. [emoji23] [emoji23]...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Mambo Jana bwana nipo zangu maghettoni nakula movie mpangaji mwenzangu akawa ameenda kumuogesha mtoto wake sasa dogo alitangulia maliwatoni huku mama akimalizia shughuli zake.. Mara dogo akawa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
20 Reactions
60 Replies
11K Views
Ni kama msimu tu ndani ya JF kuna kipindi ID flani zinakuwa trending mfano Joseverest lakini siku zinavyozidi kwenda zinapotea na kuibuka trending ID nyingine. Kwa sababu JF hakuna list ya...
14 Reactions
116 Replies
5K Views
warembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na...
12 Reactions
178 Replies
12K Views
Karibuni kwenye Jf Voucher Game ili uweze kujishindia Vocha ya shilingi Elfu moja(1000),Vocha ya buku kila Siku . Game litakuwa linachezwa kwa Kuweka namba zote za Vocha kasoro Namba moja tu ya...
9 Reactions
514 Replies
23K Views
Habari wanajamvi? Katika ziàra zake akiwa Kanda ya Ziwa Mukulu alitoa agizo kwamba katika kipindi chake tufyatue tuwezavyo. Agizo hilo mimi nililipokea kwa furaha kwa mikono miwili, na nilipanga...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Sasa hivi hii tabia ya usomaji wa plate namba imeshamili au tuseme imekuwa kama amri fulani hivi. Mtu akipishana na mdada lazima ageuke asome plate namba, ikitokea umemzuia kwa...
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Salamu wakuu,poleni na majukumu ya hapa na pale Siku chache zilizopita baba mwenye nyumba alikuwa amenibana kweli kuhusu kulipa kodi ya nyumba ,yaani kabla ya tarehe 20 alikuwa kila mara...
0 Reactions
105 Replies
5K Views
Haka ni kamchezo flani hivi Amaizing tuanze kukacheza yaani kwa wanaume unaandika Reply yako huku unaisindikiza na picha ya mtoto mkale, Na pia kwa kina dada nyie mnasindikiza na picha ya...
6 Reactions
300 Replies
52K Views
Kwa mimi ni mbondeiiii kwa sisi tunawaita ""santaar""" :D:D
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ubaya wa kudate na mwanamke mwembamba Huwezi Hata kupulizia Dawa ya mbu akiwepo 😄😄 Anaweza kufa hapo hapo na mbu wenzake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Wakuu naombeni ushauri!!! Nina miaka 28 na nilianza kuangalia pornography nikiwa form two japo niliangalia mara moja ...kwenye saloon ya rafiki yangu miaka kama kumi iliyopita. Kufika form...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jameni wanaume Na wanawake tumeumbiwa kupendana! Andika sentensi kali ya mtongozo ambayo haijawahi kukuangusha! Mwanaume ambayo mwanamke ngumu kuchomoa! Wanawake ni sentensi ipi uliwahi kuambiwa...
10 Reactions
206 Replies
29K Views
Za hasubuhi jf
0 Reactions
13 Replies
797 Views
Habari wanajamvi? Katika ziàra zake akiwa Kanda ya Ziwa Mukulu alitoa agizo kwamba katika kipindi chake tufyatue tuwezavyo. Agizo hilo mimi nililipokea kwa furaha kwa mikono miwili, na nilipanga...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nahitaji infinix hot 6 pro, Nipo Dar es salaam.. ni vema ungeweka na Gharama Pia!
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Back
Top Bottom