JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari RAIA wema wa nchi yetu..amabao japo yakua maisha yanazidi kua magumu lakini bado mnapambana na kumwamini rais wetu pamoja na jopo lake lote LA uongozi........... Niludi kwenye mada Leo...
1 Reactions
58 Replies
11K Views
Yaani huu mwaka nna nuksi sana.nimejaribu kujipiga risasi zaidi mara 5 lakini zote najikosa!!anaejua njia ingine anipe maana nishachoka
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Inaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii: -Umedamshi -Unadanga -Kama lote vile -Nyooo -Jibebe -Umependezaje -Utapa tabu sana* (New version) -Tunanyapia nyapia -Ubuyu...
13 Reactions
69 Replies
9K Views
Kwema mazee? Kama hujawahi kutembelea sehemu za uswahilini hasa mitaa ya Mabibo,Manzese na Kigogo jijini Dsm basi umepitwa na mambo mengi ya kufurahisha maishani! Ni sehemu zenye visa,vituko na...
8 Reactions
95 Replies
19K Views
kwa wale tunaokaa maghetoni.. tukutane hapa tupeane changamoto zilivyo ugumu wa hapa na pale nk..... "mchizi kichizi "
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Heshima yenu Makamanda! Wakubwa mimi ni Mwanafunzi wa University fulani hapa Nchini, Ninasomea Uhandisi wa Ujenzi, Maji na Barabara! Kwa sasa baada ya kumaliza mwaka wa Masomo 2017/2018 tumepata...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
What's up status huwa zina beba mantiki kubwa ambayo muandikaji huwa ameifikiria, Mm binafsi huwa napenda kusoma na kutafakari status za watu,japo nyingine huwa za kawaida lkn nyingine hubeba...
1 Reactions
9 Replies
969 Views
Rejea kwenye kichwa cha Uzi hapo juu. Binafsi nimekuwa nikipata usumbufu sana kutoka kwa haya Makampuni ya mitandao ya simu kwa kutumiwa SMS za kipumbavu. Kutwa napokea SMS za; Vodacom Ofa Boom...
6 Reactions
32 Replies
7K Views
kwa wale wote waliokuwa na akaunti zao Facebook napenda kuwapa taarifa kwa kuanzia tarehe 10/10/2018 kutafanyika tasmini ya malipo kwa wale wote ambao akaunti zao zilidukuliwa na kama kuna ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mdada anataka twende wote Capetown kwa madiba.....najiuliza,ana utashi kweli?
0 Reactions
5 Replies
642 Views
Jana nilienda hotelini.. ila nikakuta Meza zote zimejaa watu.. so nikaona isiwe Shida.. nikatoa simu yangu kisha nikaweka sikioni halafu nikasema.. Oya jamaa! Eeh njoo hapa nimemuona wife wako...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za masiku Wakuuu... Baada ya kuwa busy takribani Miezi 11 na kutopata hata muda wa kuweza kuingia ktk hii dunia yetu pendwa (jf) Sasa niseme tu kuwa nami nipo... Asante
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje. Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
0 Reactions
1 Replies
980 Views
KUNA MAMBO AMBAYO UKIONA MWANAUME ANAYAFANYA UJUE HUYO KUOA NI MAJALIWA YAKE MUNGU 1. Anakuna Nazi Ghetto 2.Anapika Chapati Za Kusukuma 3. Anapika Makande 4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wakuuu Mimi ni bilionea kutoka Bunju. Basi nimeamua noongeze nguvu kuwasaidia maskini na wasiojiweza Wale wanaotumia freebasics msipate tabu mkiniquote popote pale nawaachia token za...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
INBOX YA MDADA. 1:I love u dear. [Gerald] 2:Nikutoe out leo.[John] 3:Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine.[Mwambi] 4:Sweaty usisahau trip ya Bagamoyo uniambie nikupitie wapi.[MD]...
9 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu ebu nipeni tips ya kulikabili jiji...wanaume wa dar oyeee
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Humu Jamii forums kuna baadhi ya member michango yao ni adimu sana kiasi kwamba wakikosekana wanaacha pengo kubwa sana humu jukwaani. Michango yao kwa namna moja au nyingine husaidia kuleta...
1 Reactions
130 Replies
6K Views
Naomba wajuzi mniambie hizi namba ni za nchi gani? +44 7576 .... +1 (707) 319 ...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom