JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wadau nimelimis sana ili jukwa kama kawaida yangu huwa sina cha maana kwenye kuongea ndio mana nalipenda hili jukwaa..... Kwa Pamoja Halelujah...Bwana asifiwe.
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Gololi ni mchezo wa watoto wa zamani ambao enzi hizo ulichezwa sana... Gololi kubwa sana iliitwa “Dungu” na Gololi mpya iliitwa “Kinyuli” Gololi iliyokuwa imemeguka iliitwa “Betri”. Shimo la...
10 Reactions
20 Replies
5K Views
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Hodi wana jf chit chat naomba nipokeeni mimi mgeni humu
4 Reactions
99 Replies
5K Views
Habari zenyu Wandugu. Uzi huu ni Maalum kwa kutakiana jumapili njema.Muwe na Jumapili njema wapendwa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] .
18 Reactions
255 Replies
18K Views
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Shukrani za kipekee kwa Muumba wetu kwa kutuwezesha kuiona siku hii ya leo. Najua ni wengi walitamani kuiona lakini hawajafanikiwa. Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye jamvi letu tujadiliane na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Shirikisho la soka Tanzania,limetangaza rasmi kumfungia mchezaji wa yanga Ajibu mechi 3 kwa kukiuka maadili ya Tanzania baada ya kufunga goli ambalo haliendani na maadili ya...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu Nipende kuwataarifuugu jamaa na marafiki though taarifa imechelewa Mnakaribishwa saana katika hii siku muhimu na yakihistoria maishani, ni miaka 10 sasa imetimia tangu nilivyoanza...
1 Reactions
3 Replies
745 Views
Pesa za uchaguzi wa marudio tuwekeze kwenye team za majanga ya dharula kwakweli..
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Mzee tupiatupia baada ya kufa kajikuta tayari yuko kuzimu.Akaanzia mapokezi akaelekezwa utaratibu ni kuwa kila MTU lazima aingie kwenye chumba maalaum kilichotengwa kwaajili ya nchi yake kwaajili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ARMED ROBBER:- I will rape all of you! GIRLS (crying): Rape us but please leave our grandma out of it! GRAND MA (shouting): Leave who out?: idiots!, do you know when my husband died? Pls...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Jamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa. Ila uzuri nakunywa maji tu.
18 Reactions
172 Replies
10K Views
Hapa hata ukitoa mil 5 safi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Nichukue fursa hii kwa kumshukuru mungu kwa kunipa pumzi za kufikisha umri mwengine katika maisha yangu,hope umri mpya umeniachia maswali ya wapi nlipotoka,wapi nilipo,wapi napokwenda? Mungu...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Baada ya majaribu ya hapa na pale na penzi la mke wa mtu naomba kuleta mrejesho kwa kufungua uzi huu. USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda - JamiiForums Wakubwa wameelewa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Checkers au waweza kuliita draught kwa lugha ya kigeni Ni mchezo ambao unazidi kuwa maarufu Sana katika vijiwe vingi.yaani zamani nilikuwa naona wazee tu wakilicheza katikati ya miji Ila siku hizi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nakumbuka hii ilkua ndo shughuli yangu hasa nikifkiria ela ya gesti bora nimpe yeye(demu).Hii iltokana na umalaya wangu wa kutembea na wanawake wengi kila siku. Mara ya mwisho nilipaki gari kambi...
1 Reactions
161 Replies
16K Views
yesterday was hell of a night it started slow then BALIMI ZIKAANZA Later on i met this chic she is very beautiful chombezo langu likaeleweka nimetoka kwake saa 11 asubui jicho limeiva falling in...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Back
Top Bottom