JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28. Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35 Mwanamke akitafuta mume umli ni...
18 Reactions
515 Replies
23K Views
Msaada jamani kwa ajuae jinsi ya kulitoa hili kufuri kwenye account ya twitter Na kwanini linakaa hapa kazi yake nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salamu kwenu. Kurudi katika mada; Kusema kweli hakuna mavitu yanayonipa shida akibahatika kuingia ghetoni kwangu kama panya. Yaani nakosa amani kabisa hasa usiku haka kadudu(panya) hakajuagi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna watu nikiwafikilia hapa natamani niwatanie tu GENTAMYCINE akimaliza kuosha magari pale lumumba anasikilizia story za uongo kwa wazee wa kashata anakuja hapa kutudanganya, Sky Eclat...
17 Reactions
96 Replies
6K Views
Mliowahi kupanda ndege hapa ni wapi?
0 Reactions
7 Replies
622 Views
Moja kwa moja kwenye mada...hilo swali ni gumu sana kwa vijana domo zege(mostly) na wapenda kutelezea ganda na ndizi. Unakutana na binti mkali haswaaa ila kumuomba contacts inakua mtihani...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku...
50 Reactions
1K Replies
44K Views
Sina uhakika kama nimepatia jina hilo... But naamini nimeeleweka... Juzi nilikuwa sehemu hivi,kama restaurant hivi akatokea mwanaume,umri over 50 kwa muonekano.... Sasa alikuwa anaonekana kama...
0 Reactions
41 Replies
18K Views
Baada ya mafuta kuisha
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Eti huu msemo unamaana gani???????????????
1 Reactions
40 Replies
8K Views
You deserve every kind of Happiness... Hongera sana Heaven on Earth. Happy Birthday....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Urembo wako uongezeke zaidi, nguvu ziongezeke...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
BABA YETU KISHAROBARO Baba yetu unasizi majuu ,jinalako lihit sana utusome na mamkate mabaga na mazagazaga..utupotezee tukiharibu baab kama na sisi tunavowachukulia poa washkaji wakizingua, one...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za wikiend wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna brother mmoja alikua ni Msouth alikuja sehemu moja ya starehe (Bar) na masister kama watano hivi (Wasouth wenzake). Sasa ikawa...
1 Reactions
78 Replies
16K Views
Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho. Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza...
5 Reactions
158 Replies
7K Views
Kwanza ingekuea mchanganyiko wa girls and boys!! Ingekua Kuanzia O level hadi Advanced level Kungekua na comb zotee kwa advance Mabweni yangekua kama yotee.. naomba nipange safu ya viranja...
39 Reactions
512 Replies
19K Views
Hata kama hatuhujuani,hivi huu ujasiri wahusika huwa wanaupata wapi ? Maana daah,kwa mtazamo wangu,narudia tena kwa mtazamo wangu naona haijakaa sawa na si katika sifa zetu sisi wanaume,labda uwe...
0 Reactions
6 Replies
723 Views
Natumai mmeamka vyema Makamanda kwa kudra zake mwenyezi Mungu! Katika maisha ya mwanadamu aliye na uchu wa maendeleo na uchu wa kutumia muda wake hakuna kitu kinakera kwake kama kukaa bila...
4 Reactions
16 Replies
936 Views
Aisee ule mtandao balaa sana, ila msitishike na mapichapicha hayo wengi wao hata siyo maisha yao halisi. Kule nenda kutoa stress tu basi.
9 Reactions
121 Replies
11K Views
Kwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji. Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina...
26 Reactions
360 Replies
11K Views
Back
Top Bottom