kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...
sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa...
Watu wengi wanapojiunga JF, wana this impression kuwa its all sunshine and roses. Kila mtu yuko friendly na hoja inajibiwa kwa hoja. Pretty soon they find out that is not the case.
1. Chameleon...
Habari za siku wakubwa
Daah Najilaumu sana.. Jana kwa mara ya kwanza nimepigana kwa sababu ya kulewa..
Leo nashindwa kwenda Hata mtaani kwa sababu ya aibu tele kama hii.. watu ninaoheshimiana...
Huu ni uzi maalum wa kujibiana kinunda kama sehemu ya kufurahishana.
Unaandika statement na unaandika ungependa wakujibu kama nani.
NB: matusi hayatakiwi, kuna ban.
Naanza...
"Nina muda sijala...
Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani.
Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala.
Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana.
....Miaka 10 bila...
Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua,
Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi,
1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji
2. Wengi ni wageni/ wapya humu
3. Wanapenda...
Ni kwa Wale tunaomuheshimu Mungu na kumtii kile ambacho ametuagiza kwamba tusizini.Sisi mabikra wa kiume na wa kike tumeamua kusubiri mpaka kwenye ndoa ndo tuanze hako kamchezo tukutane hapa...
NIKWELI SISI SOTE WAKULIMA SHAMBA LA JILANI LIKIPENDEZA UWEZI SHINDWA KUTAZAMA NDIO UTARATIBU MZURI UJUE NI AINA IPI YA MBOLEA KATUMIA NAWAKATI MWINGINE UNAKODI NAWEWE KUJUA KAMA LIKO VIZURI
Katika mechi za mwisho mwisho msimu uliopita, yanga walifungwa goli tena zaidi ya hili la Ajibu. Naona hawa jamaa wamejisahaulisha kabisaaaaa as if hakuna kilichowahi kuwatokea.
Ningewaelewa...
Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew...
Nakumbuka nilipoanza kutumia jamiiforum kama guest miaka mitano iliyopita nilikuwa nina mihemko sana.
Basi bana vruu nikaingia jukwaa la mahusiano na kukutana na uzi wa dada mmoja anatafuta...
Kwenye top ten ya nchi zinazoongoza kuwa na condoms zenye urefu na ukubwa duniani, nchi ya Afrika kusini imetia fola duniani kwa kushika namba moja.
Wanaofuatia hao kwenye jedwali...
Usiniulize...
Most of us hapa tumepitia some form of formal education. So kama mada inavyosema somo gani lilikuwa rahisi kwako shuleni, iwe primary, secondary au chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.