JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
The most important thing to do if you find yourself in a hole is to stop digging. - Warren Buffett
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Nimepata mpunga wa Million 6 hivyo nataka nikatumie hata robo yake kupunguza hasira za kutekwa kwa kijana mwenzetu. Wale wazee wa viwanja karibuni sana Deadbody, JamiiForums.
1 Reactions
7 Replies
932 Views
Mzuka, Yani furaha yangu humu nikimchokoza mtu kwa kureply comment yake akajibu kwa jazba yani nafurahi hadi narukaruka yani na infilict pain flan hivi na kuwawini kisaikolojia hasa kwa hawa...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Dah,kuna mwana anahamishwa kitengo toka dsm anaenda manyara..nawaza siku inifike mim hii kitu,na kaz naacha Maana mi boni hia hia,nmezaliwa ,soma hia hia,madem zangu woote wako hia hia,michongo...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Neno UWOGA kwenye kamusi yake halipo na halitokaa likawepo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ushawahi kugegeda huku mbele yako au pembeni yako kuna dressing table? Hii hasa ni kwa wanaume kwani wanawake wengi wanapogegedana hufumba macho. Kwa ambaye amewahi atakubaliana namimi...
3 Reactions
91 Replies
13K Views
Hivi Hawa Watoto Anaewadanganya Kuishi Arusha ndio Uwe Mwendawazimu ni Nani? Hata Kama kuwa mbele Ya Mda Sio Kihivyo, Wanatudhalilisha Sana .
0 Reactions
15 Replies
1K Views
DMO hospital ya wilaya MASASI amepiga marufuku matumizi ya jina LA boss kazini
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko wakuu Kwanza kabisa niwape pole wanawake wa dar kwasababu kila uchwao hali si hali kunako 6×6. Nimeamua nitumie haka ka muda kadogo niliko nako kuwapa pole sana kina dada...
1 Reactions
6 Replies
945 Views
Usijaribu Kumuuzi Mwanamke.. Kwasababu Ndo Binadamu Pekee Aliyekutana na Shetani na Hatujui Ni Vitu Gani Vingine Walizungumza Mbali na Lile Tunda
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Ule msemo ulokuwa umezoeleka kwamba laki so pesa, naona hakuna maana yake tena, ukitaka kujua laki ni pesa jua kwamba kwenye laki kuna 10,000 Mara kumi, je kwa sasa unayo hata 10,000 moja? Wanao...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwa upande wangu huanza na MMU kisha chit-chat baada ya hapo hurudi love connect na kuelekea Jukwaa la siasa nikishamaliza hilo naingia jukwaa la ma-star kisha hoja mchanganyiko namalizia na...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Huyu dada ni muda mrefu umepita sijaona uwepo wake humu ndani?wenye mawasiliano yake nje ya jf nisaidieni kumsalimia na mmpe pole kwa majukumu.
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Tuchezeni mchezo wa maswali. Toa swali lolote kati ya Hisabati, Kiingereza au Kiswahili kisha mtag/m-mention member yeyote utakayependa aje akujibie swali lako, nae akishakujibu atatoa swali la...
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama: "Una kuku? Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanaume kutega alarm huo ni umama, Mwanaume ni kutega bomu likilipuka na wewe unaamka. Ebu taja na wewe umama ambao mwanaume hawatakiwi kuufanya
5 Reactions
49 Replies
7K Views
Kuna adhabu nyingine unaipata unashindwa kujua kabisa kwanini nimepewa adhabu hii hasa kipindi cha utoto kuna adhabu za kionevu sana. Mimi za kwangu ni hizi kila nikizikumbuka naonaga ni uonevu tu...
1 Reactions
3 Replies
821 Views
Hivi arusha wapo jf members wa arusha ambao ni mahandsome very handsome ? Kama mpo comment here if your very handsome only . ila kama unaweza tokelezea poa ila hii fulsa ni kwachuga tu.
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Ni maneno gani ambayo hupendi kuambiwa hata na mzazi wako ambayo huwa yanakukera
0 Reactions
5 Replies
803 Views
Nafunga account yangu kwa muda masomo yapo hectic sana . So kwaherini nitarudi mwakani . Heri ya xmass na mwaka mpya . Dah nimechoka kuandika humu. Nimefurahi kukutana na watu napenda maendeleo...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom