Hizi ndo nyimbo kali balaa ukumuimbia mupenzi wako lazima alainike hata kama kachukia vipi , twende sasa tuimbe kwa pamoja
Mabata madogo dogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bostani...
Leo nimepanda Basi toka Mkoa mmoja wapo wa Nyanda za Kusini naelekea Kanda ya Ziwa nikiwa na shauku kubwa kwakuwa tulipita njia ambayo nilikuwa nikiisikia sifa yake kuwa si rafiki hasa pale...
Wakuu,
Naandika hapa nikiwa sielewi elewi kinachoendela. Iko hivi,
Siku kadhaa zilizopita niliona kuna message PM kwangu na kiukweli nilifarijika sana baada ya kuona kuna pm kwa sababu mimi ni...
Aisee nasema hivi tuelewane . Marufuku kukoment chochote kwenye uzi huu.
Wewe utakae koment ni nyauba.
Nataka uzi huu uwe kimya miaka yoote. Hata like sitaki nimesema.
Ukiona mtu ka komenti...
Jamani kuna watu waongo kweli duniani, utakuta mtu anaumwa halafu anatoka mtu mwengine anakwambia eti Jaribu kuchemsha bunda la mpapai utapona.
Kuna jamaa mmoja nilimkuta akichemsha majani ya...
Asikwambie MTU hakuna kitu kinachonikera kama:
1.Kumwona MTU anakabwa halafu nashindwa kumsaidia(Mimi mwanaume wa dar)
2.Kumwona MTU ninayemjua akimuibia mwengine(nashindwa kumwambia asimuibie)...
Wauguzi wa kike wamelalamikia kunyanyaswa kingono na wagonjwa wa kiume waliolazwa hospitali. wengine huwachungulia nguo zao za ndani wanapokuwa wameinama kuhudumia wagonjwa wengine, na pia...
Sio siri mimi jiji hili la Makonda nimezijua sehemu nyingi kwasababu ya kufuatilia papuchi. Pamoja na kuzaliwa mji huu ila kuna sehemu kama sio totoz nisingefika maana hamna sababu yoyote. Totoz...
Hahah, nimecheka sana,
Kuna jamaa huko twitter alituma picha yake akiwa na mbwa akaomba wataalamu wa photoshop, wamtengenezee picha yake ifananie na picha ya katuni fulani, yaani ziwe na mfanano...
Naona wanawake wametuandama sana na umama!Sasa na wababa fursa kujitetea!
Mwanamke kuwa na ziwa dogo kama nyanya chungu ni ubaba,mwanamke ziwa kama tikiti!
Naam,
The heading above is concerned!
Tunga shairi lenye ubeti mmoja au zaidi kwa mwanamke yeyote ambaye unampenda hapa jf.
Shairi linaweza kuwa la kimapokeo yaani lenye vina na mizani au la...
Kwa haraka haraka ukiingia hapa Jf Unakutana na mada ambazo ukizisoma lazima ufikirie kwamba wakati mtoa mada anaandika bandiko lake kuna mtu baki alikuwa anamkopi uandishi wake,
Mfano kuna ambao...
Haki ya MUNGU vile mimi sio chizi ila watu wananitia uchizi. Kutotenda haki, kutenda ubaya, uongo etc. Vitu kama hivi ndio vinanitia uchizi na hivi vyote vinachangiwa na wanadamu. Mfano mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.