1.Mnakatiwa katiwa mboga za majani magengeni kwani kazi hii hamiwez wenyewe kama wenzenu wa mikoani?
2. hali katika mabucha pia si shwari mkienda kule mtaomba mkatiwekatiwe nyama hata kwa kutozwa...
Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.
Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka...
Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.
Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa...
Siku moja wakati natokea kwenye mishe za hapa na pale pande za kigamboni nikapanda gari la kigamboni kwenda machingacomplex kwenye gari kama unavyoelewa kwenye magari ya machinga complex kuna...
Mm avater nayotumia ni ya bilionea kutoa SA, anatwa Nicky oppenhermer ni former chairman wa kampuni ya alimasi huko SA inaitwa De Beers Ltd, ana utajiri wa Usd $7.7b
mm nilichangua hii picha...
*Jamani kuna skendo zimesambaa mitandaoni kua mimi ndio nilio muona mo,,,Nakanusha kua hizo skendo ni zauongo ni watu 2 wanataka kunigombanisha na watu wanao...
Kuna wauza sura waleee wasafiii ...na wale wa piga mathee ....wapiga kengeree ......waanzisha nyimbo shulenii ..waandika notees ubaoni....mamodo wa shule ...walimu wanafunzii ....N.k tuwapee hi...
Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara...
Kutokana na tamaduni na imani zetu zipo nyama za wanyama mbalimbali ambazo tumekuta haziliwi na wazazi wetu na sisi tukajitenga nazo ingawaje sehemu nyingine katika nchi kama China zinaliwa.mfano...
Nimeukumbuka sana huu mchezo[emoji23][emoji23] siku moja tupo uwanjani, mpira baada ya kutoboka tutahamia kwenye huu mchezo, na mimi nilikuwa kibonge hatari yaani kukimbia ni mtihani
Mchanga...
Swala la Mo tuwaachie serikari sisi wana JF turudini kwenye mada zetu za kila siku,
Hivi member gani humu JF unafikiri Ana sura mbaya kutokana na Post zake au vile tu unaona ID yake ilivyo so...
Hello bosess!
Ikiwa maisha yako toka uzaliwe hadi leo vitu ulivyo fanikiwa, ulivyo poteza, na malengo yako ukiviandikia kitabu utakipa jina gani??
Mm nitakiita
"Journey Of Mysterious Gentleman"
WANAFUNZI TAKRIBANI 682 WAMEFUTIWA USAJILI WAO CHUO CHA UDSM KAMA UNA RAFIKI YAKO ALICHAGULIWA UDSM MWAMBIE AANGALIE ACCOUNT YAKE [emoji1545][emoji1545]saidia kushea iwafikie walengwa
Stress ni pale ulipo tengeneza tshirt kibao za BRING BACK MO ili uuze kwenye mechi ya simba na stand alafu MO kaonekena leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
habarini wakuu, wale nakumbuka siku moja ilinibidi nipige plasta kisusi nlikua na msaidizi wangu mmoja hivi namuamini sana nikamshirikisha kwene zoezi la kutengeneza jukwaa, jukwaa lilikua linasua...
Wanaume wa siku hizi hawana shughuli kabisa pulling imekua ndogo japo wanajitahidi kutumia viungo vya kila aina lakini bado yaliyomo hamna kitu.
Wanaume wa siku hata gym sijui wanaenda kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.