JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Dear Anko,* Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wakuu , naomba mnisaidie vocha ya elf mmoja ya Airtel. Asanteni Kwa ukarimu wenu.
2 Reactions
10 Replies
930 Views
Moderators naomba msiufute uzi huu haufanani na mwingine wowote na unajitegemea. Tukumbushane tabia yako wakati uko kwenye ujana, ulipokua sekondari au shule ya. Msingi... Au hata kama Sasa bado...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
On this special day I wish you all the very best, all the joy you ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrw and the days to come...may you have a fantastic birthday and many more...
15 Reactions
269 Replies
9K Views
Salute bosses In life kila mtu ana jambo ambalo analiogopa sana na yupo tayar kwa kulizuia at any cost kama (kama inawezekana kulizuia).. Down here is the list of my biggest fears 1. To lose my...
2 Reactions
17 Replies
843 Views
Tarehe kama ya leo miaka mitatu iliyopita tulichagua maisha haya, tunayoishi sasa. Kila mtu abebe msalaba wake kwa uaminifu
1 Reactions
8 Replies
911 Views
Aman iwe nanyi. Kama kwenda mbingun wengi hawataenda aisee maana lazima tu ucheke. KWa vyovyote vile kucheka hakuepukiki kabisa aisee
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana nilikuwa mahali huku mkoani naangalia mechi ya Simba na Alliance....nikaagiza KVant na Coca cola nikamuomba Mhudumu aniletee pia limao iliyokatwa katwa na barafu ili kitu yangu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
habarini wakuu poleni na majukumu kuna kitu nafikiria lakini sipati jibu kauli swali ninalojiuliza kila siku ni kwamba hivi wale hot pot family nje kula,kujazachoo na kulala huwa mnawaza nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanaume wa zanziba na Tanga, hawana.tofauti, Wazembeee, alafu sasa waoga mpaka kulala peke yao vyumbani, Mimi Bilionea Patel
0 Reactions
11 Replies
3K Views
HAVE A GOOD LAUGH!! Ili iwe funzo kwako na wengine wenye tabia kama zako ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE: 1. Kosa la kumtoroka mlevi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu! Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Tarehe kama ya Leo 25.10.2015 tulipiga kura kuchagua haya maisha. Mnakumbuka
2 Reactions
2 Replies
726 Views
Habari wadau, JF member ebu sema ni mkoa gani unapatikana kwa sasa labda upo hapo kikazi au labda ndio umezaliwa hapo na kukulia hapo au labda upo hapo kwa kusafisha macho kwa muda tu! Mimi...
4 Reactions
163 Replies
10K Views
Maprofesa kama saba walkua wanasafar ya kwenda Uk walpanda ndege kabra ndege kuondoka waliskia tangazo .kwamba Tunashukuru wateja wetu kwa kuchagia shirika letu kwajil ya safari .....ndege hii...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku hizi imezuka tabia wanaume waliojaaliwa down there kuvaa nguo zinazochora mikia yao na kutembea barabarani. Sijajua lengo lao hasa ni nini kutembea mkia unaning'inia na kuruka ruka. Asubuhi...
18 Reactions
227 Replies
14K Views
Yaani hapa nina furaha sana nikiwa nipo katikati ya kuumizwA na mupenzi . Nimepokea Job offer a malipo ni mazuri namshukuru mungu. Furaha hii imefuta machungu yote wala siwazi tena. Hapa nasubiri...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
1. Multiple IDs Hawa ni wazee wa id zaidi ya moja, kutokana na sababu moja au nyingine. Lakini most ni just for fun. Sema utawagundua kwa miandiko yao, so ni very easy to spot second id ya mtu...
27 Reactions
131 Replies
8K Views
Leo ni siku ya pili kuwa jijini Dar na nimekuja kwaajili ya kupata huduma ya matibabu kwenye hospitali ya muhimbili. Tokea nifike huku dar hio jana nimeshangazwa na hii kitu ase nilikuwa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Back
Top Bottom