JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
....Tangawizi kijiko 1 Cha chai na punje 15 za vitunguu swaumu, ni muhimu kutumia Kila siku jioni au Kila baada ya siku tatu
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Katika jamii yetu ya Afrika asilimia 95 kila mtu alikuwa na jina lake la utani yaani lile jina ambalo siyo la kupewa na wazazi ila limezuka tu from no where, Njoo tuambie sasa hapo jina lako la...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Niko kwenye maandaliz ya kuandaa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya baby wangu jjes December 16 ndo ulizaliwa na...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Kuna wapangaji wenzangu hapa nilipopanga sijui wananichukuliaje, utakuta sometime ni zamu zao katika usafi lakiini chaajabu naambiwa ni mimi ndo wakufanya usafi wakati nimetoka kufanya usafi jana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kila nikikaa huu wimbo unanijia. Sijui kuna mtu natakiwa nimfikishie huu ujumbe aniupgrade niwe main chick au kitu gani.
11 Reactions
73 Replies
5K Views
*Yale madoa doa ya kule chini kwa amber rutty kumbe wahuni huwa wanazimia sigara* [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Uzi wetu huu wale tunaotumia tecno wereva ni wa kuelezea ni aina gani ya toleo la simu unalotumia ,vipuli vya tecno,matengenezo yake,matatizo na jinsi ya kuovercome, Bila kusahau brand mbali...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Eti ooh haya mafanikio yangu juhudi zangu mwenyewe. Hakuna kitu kama Mungu... Nimesoma nakujituma. Kama Mungu yupo na ajionyeshe Sasa... Mara ukifa unamkuta huyu hapo ameketi kwenye kiti Cha enzi.....
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Inaingia msg umeshinda biko 200m unaruka juu kwa furaha feni inakukata shingo unakufa [emoji1]
14 Reactions
331 Replies
30K Views
Wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Mkoa wa Dar es salaam, ambao ndio uliozaa jina la Bongo na kusababisha nchi yetu iitwe Bongoland (Nickname), hakika safari hii umepata mkuu wa Mkoa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Trend iliyoshika kichwa na miguu sasa hivi ni hii ya unakufa! Mi nadondosha unakufa zangu halafu na wewe weka zako, 1.unamwacha mumeo kisa ana kibamia,unampata mwenye mashine kubwa,anakupiga...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Thin line between Improving and proving..do not go around trying to prove your point...instead seat and reflects ..work on the areas in your life that's need improvements ...you will be amazed by...
1 Reactions
2 Replies
368 Views
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ukitoka car wash had home gari tayari imeshachafuka...si bora kuacha tu.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nawapa saloote warembo wa mbeya . Kama upo hapa naomba like
6 Reactions
114 Replies
9K Views
Ilikua ni majira ya SAA saba kasorobo usiku, nikasikia sauti kichwani mwangu. Inasema hapa kazi tu, ukinunua dai risiti, lipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya taifa. Ghafla naona 10 10 na vijana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku...
28 Reactions
198 Replies
9K Views
IT'S TIME FOR JOKES AND LAUGHTER NAMBA MPYA: Hallo tunaongea na Iddy bakari? MIMI: Ndio mimi Iddy bakari. NAMBA MPYA :Unachezaga tatu mzuka? MIMI:Sana kaka nacheza mpaka 60,000 kwa siku na...
6 Reactions
5 Replies
4K Views
Mimi binafsi nilishangaa kuona watu wanauza hela, lakini nilijiuliza kwanini wanauza coins tu. Siku moja nimepewa tuition fee nikasema leo ngoja ninunue hata za buku, nikapewa mia tisa. Kuuliza...
13 Reactions
115 Replies
8K Views
Msiojua kupika,mtasalimiwa na wauza chips!
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom