An 8 year old son asks his dad, "What's
the difference between 'Potential' and
'reality?'"
Dad turns to wife, "Would you sleep with
Barrack Obama for $1 million?''
Wife answers, "Of course, I...
Binafsi nilijiungaa nikiwa kidato cha tatu mwaka 2013,niliifahamu kupitia youtube kwa sababu youtube ndio ilikua sehemu yangu ya kupatia maarifa,kujua habari zamichezo na siasa za nchini...
Mwanaume anapokutana na msichana mrembo asiyemjua njiani harafu mrembo huyo akaomba msaada wa nauli kwamba amekwama...basi sina shaka mrembo huyo nauli atapewa na namba ya simu ataombwa mara...
Comment kwa kuandika simu yako model yake unayotumia tujue Ni simu gani Kama Ni kampuni ya tecno au Samsung au iPhone mwisho wa siku tutajua simu gani inaongoza kutumiwa na Wana jf
Naanza Mimi...
Rafiki yangu wa siku nyingi amestaafu miaka mitatu iliyopita. Baada ya kupata kiinua mgongo chake akaamua kutafuta washauri jinsi gani atumie fedha zake katika miradi mbali mbali ili iwe endelevu...
Kila toleo jipya la simu anataka nami sina noma namnunulia na juzi juzi kaja anataka laptop ili amalizie kazi zake za chuo kwa muda muafaka nami niaona ni jambo jema nikamnunulia.
Wiki...
Preacher said: "If I had all the beer in the world, I'd take it and throw it into the river". And the congregation cried, "Amen!"
"And if I had all the wine in the world, I'd take it and throw...
Dada yule alikuwa ame mu add mumewe FB wakawa ni marafiki.
Dada pamoja na mumewe niwatumishi wa umma idara ya afya.
Mumewe akawa amepata safari ya zaidi ya mwezi mmoja humu humu ndani ya nchi...
We mdada kama umevaa hii sketi na chura,msambwanda, wowowo lako halijatingishika au kuvibrate wakati unatembea, basi sahau kabisa halitakaa litingishike tena maisha.
Tuseme tu wewe ni male mwenzetu
kama kichwa cha habari hapo juu
1. ukiona umezaa na mwanamke watoto zaidi ya mmoja na bado unamuona hafai kumuoa jua hujajitambua
2. ukiona uko kwenye chama fulani halafu hupendi kinavoendaenda...
kuna dada mmoja alikuwa hawajui wanaume hivyo aliolewa na mzee ambae jinsia zake za kiume ziko mbili.yule dada baada ya kugundua vile alianza kudai talaka kwani alimuona kama sio mtu wa kawaida...
Chizi mmoja alipiga simu milembe
CHIZI :helo hapo ni milembe
RECEPTION :ndio nkuxaidieje?
CHIZI :nilikuwa naomba uniangalizie chumba no 17 kama kina m2!
RECEPTION :ok ngoja....(baada ya mda...
Huwa naenjoy sana kusoma
yaliyoandikwa nyuma
ya daladala hasa ninapokuwa kwenye
foleni.
Misemo maarufu
ya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki
2.Utamu wa chips mimba
3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai...
Na hao watu wanaojiita wamikoani sijui tatizo nini?
Kuna watu saivi mtaani hawali chips vibandani
Kuna watu saivi kuoga Mara moja kwa wiki.
Kuna watu saivi Maisha yao yameharibiwa na hii misemo...
Baada ya "UMAMA" na "UNAKUFA" sasa ni "ILA SIMTAJI"
Malizia sentensi yako na ila simtaji kama mfano hapo chini
Kuna mtu anachezea sharubu za simba, ila simtaji
habar za asubh...
jana kulkuwa na hz habar za amber ruty.. katka kuptia koment nkakutana na neno 'danga'.. iv hl neno lna maana gan...
kwasabu wanaume anaitwa danga na mwanamke anaitwa danga...
dawa hiyo nimetumia KEMIA IFUATAYO
PILIPILI + PARACHICHI + NDIZI = msukumo wa usambazaji damu mwilini, kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi, uimara wa misuli ya mwili ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.