JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ikianza kodi ya vitambi kwa jinsi a zote. Vitambi vitakuwa adimu sana. Yaani wizara ya afya ishirikiane na TRA, mwenye uzito uliozidi BMI apigwe fine, gym zitajaa na watu wataacha kula kula bila...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa kuwa imeonyesha namna taifa linatakiwa kuwa.magufuli ametangaza Vita na mashetani ya dunia lakini Nina imani kwa kuwa Yuko na Mungu maadui zetu watalamba chini.tanzania inakuwa nchi ya Africa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Aiseee... Kwa kweli sina la kusema,baba shikamoo. Yan dah!,Mzee heshima yako kiongozi. Narudia tena,Shikamoo baba kiongozi.... shikamoo sana. Yaniiiii.....duuuuuh
1 Reactions
4 Replies
843 Views
Aman iwe nanyi wapendwa Mtoto ana guu hatar sana usipime huo upaja huo aisee ni hatari sana Jana sijalala kabisa nikiliwaza tu hilo guu sijui nizame pm sijui nisubilie atakuja mwenyewe pm...
4 Reactions
78 Replies
9K Views
Wadau kuna kundi kubwa sana la watu wanapora, yaaaan wanasimamisha gari kma abiria harafu wanapora mikoba, simu huku wakiwa na visu. Vijana wapo zaid ya kumi, yaaan hatari kwakweli. Police...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Niwasimulie story?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka kadhaa, ni jambo la kumshukuru mwenyezi Mungu kwani wengi niliokua nao katika hii safari hawapo tena! Kwa wale waliopo Mwanza sherehe yote itakua pale chanya...
1 Reactions
3 Replies
623 Views
Mashoga ni binadam kama binadamu yeyote hivyo lazima awe na mwonekano wa kiume sasa kwa kasi tunayoenda nayo wanakamatwa na kustakiwa ombi langu kwa magereza wasiwachanganye na marijali kwani...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
jamani me mgeni humu naombeni ushirikiano wenu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni pale prefect wa shule ya Dodo alipoomba majina ya wanafunzi wote wanaoachia hewa chafu darasani. Anasema amechoshwa na tabia ya wachache wanao haribu hali ya hewa darasani. Kuna wengi hasa...
12 Reactions
37 Replies
4K Views
Yani leo nimekosa furaha kabisa, nilikua natoka kwenye jengo moja la biashara hapa mjini, nikasikia mtu ananiita ulti.. Ulti... Dha! Kugeuka classmate wangu wa Secondary huyu mdada nilimpendaga...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
''afrooo afroo mamaa oo mtoto wa kisagane mamaa Salamuu uu zangu nakutumia popote ulipo zipokee Wasalimie ndugu na wazazi wako mamaa ee Popote walipo bibiii'' ''Kolo kolola mama kolola...
0 Reactions
44 Replies
27K Views
Chukua Magome ya mwembe, Majani ya mpera, Miziz ya Mkorosho changanya na Mkundekunde kisha pondaponda majani ya mpapai, Chemsha dakika15 Halafu Chuja vizuri Kata ndim 10 na robo lita Asali...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani nataka kutravel kuelekea songea ila sijajua ni basi gani zuri na lenye usalama. Naombeni msaada wenu pls
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Huyu jamaa kaenda wapi sometime kumbe alikuwa anaongea ukweli.inawezekana sisi tunamuona Kama niaje kapinda.lakini yako mambo ya msingi alikuwa anaelezea.namkubali sana sijamuona jf kitambo
2 Reactions
3 Replies
629 Views
6 Reactions
92 Replies
3K Views
Wakuu habar za jion Mimi ni kijana jinsia ME, Leo saa 6:01 usiku natimiza umri Wa miaka ishirin na saba (27) Namshukuru mungu mungu , wazaz , ndgu na rafiki. Hivyo napenda tujuzane ni vitu gani...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu...
9 Reactions
188 Replies
14K Views
Back
Top Bottom