Tuwakumbuke marehemu wetu wa jf toka kuanzishwa
Hakuna kifo cha mwanajf kilichoniuma kama cha yule member wetu aliyekanyagwa na gari miaka mitano iliyopita dar es salaam na alikuwa maarufu sana...
Nimekuwa nikimuona kwenye TV kwa matukio yake na jinsi namna anavyopambana na matukio mbali mbali mkoani Dodoma.
Kwa wale hamjawahi muona huyu afande , kumbe ni muongeaji sanaaa na mtu wa utani...
Jaman kwa wale ndugu zanguni wachaga mda wetu unakaribia
Moshi is loading......... December
Turudi Moshi tukasherekee Christmas
Tupeane Ratiba kabisa mapemaa Mo Town tunatimba na machalii wang
Kuna minyau ya jirani zangu ipo kundi karibu minne huwa Ina tabia ya kuja kufanya ngono karibu na dirisha langu nimejaribu kuifukuza iache mazoea hayo lakini imeshindikana.mida yao ni saa 2...
Awe mzoefu na kazi iwe na good quality.
Movie ni kuhusu bibliography ya kiongozi wetu mpendwa.
1. Maisha ya Kolomije
2. Safari ya Mwanza kwa mama Kazimil
3. Matokeo ya mtihanivwa IV
4. Chuoni
5...
Habari Great thinkers,
Nimewamisimooo..
Ni muda sijaingia hapa natumaini mko poa. Asante kwa mliokuwa mnanimisi, asante kwa mliokuwa mnaniuliza na wengine mlikuja PM. Ninyi niliokuta meseji zenu...
It may sound strange but this has been my major wish for a while....
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko...
Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga...
amkeni wakuu kumekucha, kwanza niwatoe hofu wakuu kuhusu siku ya mwisho mimi na shetani tunaweka mikakati ya kuaandaa zima moto za kutosha ili kumkomesha uyo mungu wenu na moto wake
tutakua na...
Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.
Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.
Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo...
Mama mwenye nyumba
Mtoto wa mwenye nyumba
Madalali
Baba mwenye nyumba
Mzee baba uliyepanga
Mrembo uliyepanga
Nliowataja hapo juu kama una habari zozote kuhusu chumba unijuze,,
Kiwe na sifa...
Mara ya mwisho nilileta barua ya uchumba ukaniambia utanifikiria huku ukitafuta njia za kumwacha Kaboom.
Sasa umepotelea wapi? au ndiyo umeamua kubadili ID nisikuone tena? espy nisaidie kumtafuta...
MWALIMU: haya watoto leo kila mtu atuambie kazi anayofanya mzazi wake, haya wewe?
MTOTO 1: baba yangu injinia
MWALIMU: Safi na wewe
MTOTO 2: Mama yangu nesi
MWALIMU: Safiii, wewe
MTOTO 3...
(Nchi Rafiki ilileta Balozi kuiwalilisha nchi hiyo hapa Tanzania ambaye ni Shoga)
MEMBE: HERI TUBAKI MASKINI
na Tamali Vullu
RAIS Jakaya Kikwete amekataa kumpokea balozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.