Moja...kukukatia tiketi ya Ndege,hamna mdada wa kisasa atakaekataa kupanda dreamliner kukufuata popote,kama upo Kahama(mji wa starehe, unamuomba muende Mwanza kwa Ndege usiende mbali kuokoa...
Kwa mfano ukiwa umezoea kupiga pull kila siku utaona fresh tu machine inasimama every time ukitaka kujilipua japo maumivu ya viungo kwa mbali na uvivu uvivu utakusumbua ila mashine inasimama poa...
Breaking: Mabehewa ya Treni Yaanguka Morogoro
Udaku Special · 4 minutes ago
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL)...
Onyo: story inahusu wakati uliopita kabla sijawa na kalumanzila.
Niwaambie kitu ni kweli mtu anaweza kukuzimikia ile deep kabisa wakati wala hajui hata sura yako.
Hata mimi nimeshawahi vutiwa...
Habari!
Wadau ebu tujikumbushe miaka hiyo wakati NECTA inaitwa NECTA, wakati form four ilikuwa sio kitoto kutoboa, unaingia kwenye chumba cha mtihani pepa imesimama mpaka unaogopa.
Wewe...
Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi...
Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.
1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili...
Mnamo mwezi wa sita nilipata nafasi ya kupima HIV na mpenzi wangu ila majibu yetu yalikuwa Negative kwa mujibu wa kipimo cha Sd bioline, mwezi mmoja kabla nilikuwa nikisumbuliwa na homa na kupata...
Nimeshuhudia live maeneo ya Riverside ubungo tukio la kuchekesha Sana.kuna abiria mwanamama kashushwa na bodaboda Sasa alikuwa kavaa helment Sasa alivyoshuka akasahau kuvua helment akampa bodaboda...
Sote tunajua tutakufa lakini kwa Hali ya Sasa hivi nyakati hizi za mwisho wa mfumo huu wa mambo tumeshuhudia vijana wakifa na wakizikwa na mama zao au baba zao tofauti na zamani.mimi kwa imani...
Giza lina mengi jamani !
Nilikua najiuliza ni vip vichaa wanapata mimba, sikuwahi pata jibu sahihi
Hatimae Leo dakika chache zilizopita majira ya saa 01.40 nimeshuhudia kwa macho yangu mawili...
Hii nime copy na kupaste:
Mvulana mwanafunzi alimwambia baba yake kuwa siku hiyo alikuwa anajisikia kuumwa hivyo hawezi kwenda shule. Baba akamwambia poa apumzike.
Baba kazi yake ni Bodaboda...
Mmoja anamwambia mwenzie kwamba uje kukata mauno kwenye show yangu hatujui alikua anamanisha au kejeli ..jamaa akajibu nashukuru sana kwa presentation yako ..
Ila tuingie makubaliano (am not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.