JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wakuu, hivi unachukuliaje anapokuja ndugu yako kukutembelea kisha anaanza kuulizia bei ya kila kitu anachokiona ndani, uwe na TV utaulizwa bei yake...uwe na friji utaulizwa bei...
7 Reactions
75 Replies
5K Views
kichwa cha habari hapo juu cha husika sibagui dini wala kabira kikubwa mapenzi ya dhati na kuwa tayari kuishi na mm kimaisha na kipato changu ni cha kawaida milo yote mitatu na imudu bila wasiwasi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Siyo kila mzee amejaliwa busara kuna wazee wengine vyatu kweli kweli kuliko ata uvyatu wa wale vijana wavuta bangi, Usiombe ukutane na zee fyatu yaani utacheka ufe au utatamani tu huwe unamuona...
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Miezi mitatu niliiona kama mwaka ilikuwa ni majanga tena si ya nchi hii 1-Kipindi mafunzo yanaanza ilikuwa tizi la kukimbia umbali mrefu sana,nilikimbia nikachoka sana pumzi ilinizidia nikazima...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwanza nimewamiss....tenaa saaana ila majukumu ndo yananipeleka resiiiiiiii balaaaa ukizigatia na wanaume wenyewe hawatoi hela basi lazima mwanamke nitafute mkwanja wangu hata nikiamuaa kutongoza...
3 Reactions
74 Replies
5K Views
Aman iwe juu yenu Jambo limezua mambo, mdogo mdogo had yamefika ulaya Jionee mwenyewe maandamano makubwa ya kutisha America na ulaya juu ya konk master. Wakati huo huo konk master amemlipua...
4 Reactions
86 Replies
11K Views
ACHANA NAO ______________ Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, Mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao! Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Kama kawa sisi ndo tunanunua mazao ya wapagazi wetu walioko mashambani na korosho tumewagomea sasa nyie Si vidume haya mzivundike... Tujipongeze wanaume wa dar
0 Reactions
7 Replies
807 Views
Evelyn Salt a.k.a Baharia.
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Kuna usemi nausikia unasema 'Usipotaka mabadiliko, mabadiliko yatakutaka wewe' kwahiyo maswala ya Uber na Taxify yalipojiri kwa sisi madereva bodaboda sikua na budi kujiunga na mojawapo. Uber...
9 Reactions
23 Replies
5K Views
habarini wakuu natumaini ni wazima wa afya kabisa leo nko na swali moja kwa wanachaputa wezangu nini huwa mnawaza baada ya kufaninikisha zoezi barikiwa la kujilipua? mi huwa inafika stage...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Jandoni tulifundishwa mwanamke akiachwa anadaiwa watoto tu basi. Chuni, dela,kitenge au mkufu uliomnunulia karume huu unamwachia. Kwenye vizawadi kuna kinadada nao huwa wanajitutumua anakununulia...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Hapa tutakuwa tunaandika Namba kuanzia 1 na kuendelea, Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kuandika namba kutoka namba uliyoiona kutoka juu, Mfano kama ni 1 basi we andika 2 na kuendelea vivyo...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Ipo michango au maneno maarufu yanayovuma hapa jamiiforum kwa ma great thinker.maneno hayo yanajirudia rudia katika kila post Ni kama watu wamekariri. Au wameiga na Sasa unaweza kuona kila thread...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
NI saa moja na nusu usiku! Nyumbani kwa mzee Linus, Nakasangwe, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, ndani ya ua mkubwa wa nyumba yake, mapambo yamepambwa vya kutosha na wageni waalikwa...
3 Reactions
128 Replies
16K Views
Sijui kama ni mimi tu naona hivyo ila naona KIKI nying za DAB huwa zinaisha kama hangover yaani huoni kabisa impact ya maana. Hivi ni kwa nini?
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nadhani kwa kila penye mkusanyiko na wao wapo katikati yenu!sasa kama nihivyo na mnapenda mtambuliwe kisheria basi matembezi uanzia nyumbani kwa mantiki hiyo kama wanajamii na mko Hapa JF Basi...
0 Reactions
149 Replies
13K Views
Habari za siku wanajamvi? Mara nyingi sana tumesikia au kushuhudia watu kadhaa wakipata ajali na kupoteza maisha. Na ajali nyingi sana zinazotokea usiku chanzo kikubwa ni ulevi kama si usingizi...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Nilikuwa najamiana na mwanamke fulani ambaye tumekutana naye mazingira yangu nilikuwa nimeenda kikazi kijijini huko.Sasa katika kujali afya si ndo nikaamua kuvaa kondom.tukaanza kusuguana sugua we...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Majira yame badilika usikubali kuwa na biashara moja mjini ,Fanya kilimo,ufugaji,uwekezaji na biashara zote za fani yako Pamoja na Elimu yako bila hivyo utaishia kuona mafanikio kwa wezio na...
13 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom