Nimestuka kidogo nilipokwenda kibaha kutembea kwa ndugu yangu, kitu ambacho kimenishangaza kumezagaa vimashine vya kucheza kamali sijapata ona.
Yaaan kila kwenye frem tatu lazima kiwepo, harafu...
Kama kuna Mkoa ambao tokea Uhuru hadi hivi leo huwa hauna Vitendo vya Kishirikina / Uchawi na hata Makabila mengi yanayopatikana huko hayana haya ' mauzauza ' kwakuwa ' Kiasili ' ni Wacha Mungu...
Kati ya story ninazopenda kusikia ni za majipu yaliyotumbuliwa. Hupenda kusikia walikua wapi, wanafanya nini na na taarifa waliipokeaji zaidi hupenda story hizo ziambatae na ka clip. Na kabla...
Nachukulia kisa hiki PaleKarne ya Sita Papa Aliyejulikana kwa Jina la Mercurus alipobadili Jina lake na Kujiita Yohana wa II Hii ni baada ya kuaminika Mercurus alikuwa ni Mungu wa Kipagani wa...
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu...
Huu mgomo wa magari jana uliathiri wakina Dada sana . Mmoja alitaka kupanda kwenye Gari na kukutana na kondakta mlangoni.
Kondakta. Hai bebi
Dada. Hi niambie
Kondakta. Hai bebi
Dada. We konda vip...
Habari.
Hii hali inanipa shida sana hasa baada ya kujiita mkia.
Nimeamua leo kujitoa katika jina hili. So naombeni msaada wa kubadili jina na mnichagulie jina zuri lenye Mwanga
Ndio Maisha yanaenda Kasi sana, Baada ya kupata Chakula cha jioni niliona ni vema kwenda club moja apa kitaa..
Mpaka kufika mida ya saa sita usiku huu nilikuwa nimelewa kispoti..
Kidogo mbele ya...
Habari ya muda huu..,
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimejaribu kuingia jukwaa la Great thinkers asee ila cha ajabu nimekatazwa kureply thread flani hivi nilioikuta huko na kuja kucheki...
Kipindi cha kampeni kinakaribia. Katika kipindi hiki nchi inakuwa pepo ndogo. Shida zinasikilizwa na ahadi kutolewa.
Achana na zile shida kubwa kama ujenzi wa zahanati, maji, umeme barabara na...
Upo umetulia zako sehemu
Mara kwenye simu ukasikia ujumbe ume ingia
Una angalia unakuta ujumbe unasema imethibitishwa umepokea kiasi cha Tsh 307,000 namba iliyo kutumia ni ngeni huku mfukoni...
katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge zitoo kaibua madudu washa bungeni wakati alipofungua kijibegi kidogo ambacho huwa ni kawaida yake kukifungua kila anapokuwa anataka kurefer kanuni au...
Imefika wakati nawaza labda tulizaliwa mapacha.
Kipindi niko mdogo shule ya msingi jioni nkiwa na wenzangu nyumbani tunachota maji binti mmoja wa rika langu akanisogelea akaniuliza habari...
Habari iliyopo ni kwamba "Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Kurutumbi leo.
wasichana wawili walichukua tax toka Kurutumbi kuelekea kituo cha basi,wakiwa njiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.