JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wakuu, Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba? Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa...
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Salam salaam!!! I hope yu wazima wa afya tena bukheri kabisa, nimejikuta nikiwa nacheka peke yangu baada ya kukumbuka UONGO au Stories nilizokua nadanganywa na baba ili anijenge kijana wake kifkra...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wale wenzangu wanaotumia usafiri wa Uma watanielewa kuhusu hili, Hakuna kero kama kukaa siti moja na mtu mnene(bonge) kwenye dala dala,maana siti yote utakuta kaenea yeye tu mpaka kwenye siti...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
1. Chukua computer yako. Fungua program inaitwa Microsoft Word. 2. Chapisha neno, 'Makalio' kwenye hiyo program uliyoifungua. 3. Highlight neno ulilochapisha kwenye kibao cha Word. 4. Nenda juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Habari za siku, Natumai kuna watu hapa wana ujuzi na mambo ya saa, vipi naweza kupata wapi saa ya bei nafuu isiyochuja rangi, sichagui rangi.. ilimradi isichuje tu rangi! Divine Khan
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Is Man A Genetic Defect Of A Woman? This Video is about the Best Kept secret, that is, the true Goddess is The Mother. We as Etheric or spiritual beings, existed before gender or the creation of...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Naanza na Mimi hapa; Umwana atabwigwa,ubwigwa na masomo utukula=maana yake mtoto asiposikia,atasikia na macho yakiwa mekundu au akiwa analia na kutoa machozi baada ya viboko.
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Na kumbuka chatting enzi za secondary school. °Baby fungua mlango nakuja tulale[emoji188] °Nimefungua njoo ndani Honey [emoji124] °Nisogelee sweet na utoe nguo °Baby funga macho...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Wale wa internet za kazini hata ukiwatukana Ijumaa jioni kama amesha log off. Utajibiwa Monday morning.
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi binafsi naanza na dar es salaam ... awa watu ujifanya wajanja sana but ki reality ni washamba sana kila kitu wana vunga wanajua ....[emoji41]bila kujua si wa mikoani uwa tuna wakaushia Sasa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Niulize chchte kuhusu mimi ..karibuni
2 Reactions
319 Replies
19K Views
Katika maneno ambayo huwa naogopa hata kuyawaza Ni hii kusema mshahara wa dhambi Ni kifo.hivi walifikiria Nini wahenga wetu mpaka wakatunga haya maandishi ambayo Mimi sometimes yananifanya...
1 Reactions
1 Replies
866 Views
Daby Asprin Shunie Numbisa @mondray DJ Sepetu @jovitha mdada fulani hivi mstarabu nimemsahau jina STUNTER na wifi yangu jje's Mshana Jr bebe rafiki Behaviourist Na wengine wote...nawapenda sana
16 Reactions
73 Replies
3K Views
Pamoja kwamba kila mtu anadizaini yake ya kucheka naamini kuna uandishi flani ambao ni conventional wa kuandika kicheko. Wanafasihi tafadhali nijulisheni namna ya kuandika kicheko kwa usahihi, hua...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wale mende mliozoea umende wenu bongo. Huko ambazo ushoga ni ruksa mwendo ni gonga ni kugonge. Kwa wengi ni kuwa mnatatuana kwa zamu.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
*Soko la korosho lipo hapahapa nchini, ni kumpanga tu daktari mmoja aeleze kuwa korosho zinaongeza nguvu za kiume, hakya nani korosho zote zitanunuliwa na wanaume wa Dar*[emoji38][emoji16]...
1 Reactions
4 Replies
842 Views
Hii ni kiko ya Wanyaturu inaitwa "IFUNDE" ambayo ni mchanganyiko wa Tumbaku na Uwele au Mtama. Lina heshima yake, wanapewa wageni (hasa wakwe) au wakienda kuhani msiba. Wanasema 'kupiga Sayuu' na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Charles Kitwanga Charles Mwijage Charles Tizeba. :D:D
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Najua tunamambo mengi yakujadili. Lakini tuki-base nayo sana tutadata, mana nji hii kil aasubuh kuna jipya. Uzi huu ni moto wa mabua, (Short life thread) Tujuzane tu ID za females...
2 Reactions
382 Replies
19K Views
Back
Top Bottom