nadhani hii ni jokes fulani ila sijaelewa hicho kingereza chake. anamainisha nini?.
nimeishia darasa la saba na nina uelewa mdogo sana wa lugha kingereza, wale magwiji wa lugha hii mtusaidie...
Nakumbuka 2015, nilikutana na mrembo mmoja pale samaki samaki m'city, nikiwa nnatoka namuona demu kakaa chini anaongea na na simu huku analia nikaona nimuulize tatizo nini hakujibu nikampa...
Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Tanga, nilipanda basi la Raha Leo. Pembeni yangu alikaa mwanaume amenizidi miaka kama 10 hivi. Nilikuja kugundua baadae ni m-Pakistan na Kiswahil aliongea kidogo...
kama heading inavosema nina uhitaji wa kitabu kinachoitwa succesfully system sijajua kimeandikwa na nani
nimeshindwa kwenda jf store kwa sababu zangu binafsi
Yani kila hospital ninayopita sijawahi kutana na Dr asiye na mvutooo.
Duuuh wanajua kuvaa hasa suruali za kadeti mashati yamenyooshwa vizur yani mahandsome[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]...
Tunajua wengi tunapoelekea mwisho wa mwaka huu, lazima turudi nyumbani, kusherehekea pamoja sikukuu ya christmas na mwaka mpya. Tunawakumbusha mnaokuja huku vijijini mubakikishe mnakuja na...
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto...
Habarini wadau wenzangu
Yaani nimesikitika kwa kweli mkuu wa kitengo wetu Melo Kusema kuwa hatutakuwa hewani leo alaisiri mweee mwenzenu naona nitakosa mambo muhimu humu na asijui tutarudi lini...
AINA ZA MAGROUP YA WHATSPP TANZANIA
1.MAGROUP YA MAPENZI,NGONI NA XXX
Unakuta chartng zao ni kama za wenda wazimu,mara salam cjui mnakula mara tumelala mwingine atadakia salma unaniumiza moyo...
Nimekuwa Teja wa matak0 ya homosapiens wenzangu. Nimekuwa na tabia mbaya ya kugeuka geuka nyuma automatic kila ninapopishana na mdada.lengo kubwa waga Ni kumcheki yupoje Ana chura au Ana Ana flat...
Mwaka 2005 mara baada ya kuchaguliwa kuwa Raisi Jk aliona amekuwa mbunifu kwa kuanza kutembelea Wizara kujua matatizo na kutoa mweleko wa serikali yake................
Hii ni tathmini yangu ya...
Juzi Niliitwa na Wazee wangu wa Ukoo, Nikiwa kama Kijana Mdogo Msomi ambaye Nimekuwa Kiongozi wa Kimila wa Vijana.. Pia walikuwa wameita Vijana wengine kama 10 wa ukoo ..
Kufika Pale...
Wakuu.
tunga sentensi moja ukianza na maneno hayo hapo juu" hata saa nyingine hua nampigia simu mchungaji ili aniombee"
haya endeleeni kutunga sentensi zenye maana iliyo kamili.
Katika stori zangu na wazee wa miaka hiyo, wanasema eti kilimajaro ilishakua Nchii na sio Nyerere ungekuta Arusha,Kilimanjaro na Tanga ni Nchi Huru.Hili limenishangaza sijui kwa sababu nilikimbia...
Huyu jamaa ameingiza hiki kionjo cha "Alaa!" katika tangazo la Fiesta linalorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm na kufanya tangazo linoge. Je huyo jamaa ni nani?
Nimefanya tathmini nimegundua wanandoa wengi waliozaa watoto wengi kuanzia sita au nane au kumi huwa wanaishi miaka mingi wanafikia sitini au sabini.lakini familia nyingi zenye watoto kidogo aidha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.