Mzuqa
Wale mliokuwa mnafuatiliaga thread zangu kwenye id yangu iliyopigwa life ban mtakumbuka nililetaga script ya movie ya The Curse of Makinikia na The return of Doctor Shika.
Kwenye hizo...
Hivi majuzi mama alinisimulia tukio ambalo hakuwa amewahi kunisimulia hapo kabla na likanifanya nishikwe na baridi ya huzuni na hofu na nikawaza mengi sana.
Iko hivi....
Nilikuwa nina mwezi...
hivi kwanini watu wakishajua wameathirika na ukimwi wananjifanya wanafanya mazoezi sana
yaani huwa nakereka sana asubuhi nikikutana na watu Ninaojua wameathirika afu wanajifanya wanafanya...
habarini wakuu poleni na majukumu, katika pita pita zangu mtaani nikakutana na binti mmoja hivi kwa kifupi mbaya maana hana sura wala chura
sikutaka kumsalimia maana nlimuona kama kisiriri...
habarini wakuu poleni na uchovu,hakika leo ni wikiendi so we have to refresh our minds
leo nimekaa nikawaza ingekuaje kama maisha halisi yangelikua kama alivoishi yesu kwene hadithi nikagundua...
Tulitolewa kifunga uchumba na wanaume wenye suti waliokuja na ndege yao. Tuliambiwa kuna uwezekano wa kila mmoja wetu kusukuma Noah baada ya ndoa.
Mimi sili niniogopa kunenepa gauni la harusi...
Mwanamke unayehitaji mtoto na huna mwanaume wa kukupa mimba njoo inbox mimi niko tayari kukupa mimba bila malipo. Hata kama hutataka huyo mtoto awe wangu bali awe wako ni sawa tu.
Karibuni sana!
Tokea jana kila nikiingia Jamii forum najikuta moyo wangu unakua mzito, nafasi yangu inakosa raha, simanzi na huzuni inatawala ndani ya moyoni wangu,
Nakumbuka jinsi ulivyokua mkarimu kwangu na...
"wapo hata waheshimiwa wanaotumia humu ndani..." Msukuma
Nimeanza na nukuu, sina salamu zaidi ya Aluuta!! [emoji1535]
Mh. Msukuma tafadhali ongeza juhudi angala tupate turuhusa twa kujilipua na...
Hakuna kitu
humfanya
mwanaume awe
Makini zaidi kama
pale nywele za
sehemu nyeti
zikishikana na Uzi
wa kwenye
boxer....unaeza
dhani anatenganisha
nyaya za bomu
Jaman sio siri kitumbua vitamu sana..tena mpishi awe msafi asiwe mchafu na asiviunguze sana viwe kati kwa kati yan vya brown na visiwe na mafuta mengi. Yani uchelewi kushiba,,hatari huwa vitamu sana
habarini wakuu poleni na majukumu,kama heading inavosema
nakumbuka mwaka 2002 wakati nipo form three shule moja hivi iko iringa nilikua sipendi kabisa shule kwa mwezi nlikua nikionekana shule...
Kipndi nipo mudogo miyaka kama kumi na 16 arikuja mujomba wangu kutoka Itaria na kutupereka bugani kuwona wanyama nakuumbuka irikuwa muaka 2012 turipanda gari kutoka kijijini adi mwanza na kesho...
Dogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu...
1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka...
Jamani ni miaka 16 tangu tuko shule na huyu kiumbe nlikupenda tangu utoto wangu japo cku hiz Nina mke mwingine ila roho haiachi kukuwaza Jaman nionesheni Magreth Josephat wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.