JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dunia inaenda kasi, baada ya kugundua kuwa kuna njemba inammendea aliyekuwa mpenzi wangu naye akawa ana mu entertain tuligombana na kutengana kwa muda kila mtu na mambo yake. Jamaa akakaza na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mida hi wakuu Nipo apa posta nasubiria kilimanjaro expres tayar kwa kwenda nchi jiran zanzibar!!!!! Swali langu ni je hiv hua kuna kupita hotelin kula( ilivo kwenye kutoka mkoni labda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Miaka ya hivi karibuni kameibuka kamtindo kakilimbukeni ka kumwagiana maji siku ya kuzaliwa. Mtindo huu umeigwa toka ng'ambo na kuletwa kwetu. (Si vibaya kuiga, lakini ni vizuri...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Mambo vp, Naomba yeyote atakaye kuwa interested kuchart, kubadirishana mawazo ani PM, Just to share...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Yaani totoz za chuo zimemiminika, naogopa kusemesha hata totoz moja,
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF. Nimeweka huu Uzi kuwakumbushia siku zinazidi kuyoyoma na michango inasua sua. Mpaka sasa tumepokea michango ya members 21 na sisi lengo letu ilikua watu 50 at least kutokana...
12 Reactions
269 Replies
13K Views
Habarini wana jf naomba kufahamu tu eti mtu ukila mavi utakunya mavi? Na mbuzi ukimfuga muda mrefu? Ndio anageuka kuwa tembo?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu Salam, Binafsi nikiwa miongoni mwa watanzania milioni 50, sina shaka na UZALENDO wangu kwa taifa langu lakini hizi title mbili za UMASKINI na UNYONGE sizikubali, sijui wewe mwezangu...
1 Reactions
4 Replies
616 Views
Kwa wale wote ambao mko nje ya Tanzania hapa panawahusu Kwanza tunataka kujua uzoefu changamoto zenu na mnayakabili vipi maisha ya huko Hapa tupate kujua unapendelea safari na kampuni gani au...
10 Reactions
142 Replies
10K Views
Habari zenu ndugu wapendwa Niende kwenye mada Kutokana na hali kuwa ngumu kwa upande wangu,basi nadhubutu kusema nimekomaa kwa umasikini,nina vigezo vyote vya kuitwaasikini, kama ni mpira basi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
ARV
Dawa za ARV za siku hizi naziona kama zinakauchachu fulani hivi. Vipi nyie wakuu mwazionaje?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi jf, Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B". Sijajua...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari wakuu! Baada ya kufanya uchunguzi wangu toka mwaka huu uanze juu ya dalili kadhaa za ndugu zangu, majirani zangu, wafanya kazi wenzangu na hata mimi mwenyewe kwa nyakati tofauti nimegundua...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kuna vitu vingi sana vya kujivuni kwa sisi tulio bahatika kuwepo miaka ya 199.... Binafsi nilikuwa napenda sana hadithi za babu na bibi enzi hizo,hadithi za shule ya msingi...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Siamini kabisa kiufupi leo nimemaliza mwezi kabisaa leoo [emoji123][emoji123][emoji57][emoji57] Heko kwa kuweza kutunza mbunyee hiii Shemeji yenu yupo masomoni natarajia kukutana naye mwezi wa 12...
19 Reactions
485 Replies
21K Views
kwa wale tuliopo dom city..huu ndo uzi wenu wa kutiririka hapa.. kuanzia viwanja.. yaani bata batani...kwa wajanja wote basi hatukosi night club kali kama, maisha club, club 7,club laaziz, club...
2 Reactions
239 Replies
10K Views
Katika mishe mishe za kutumwa na bosi nkaenda ofisi moja nkakutana na secretary wa haja toka tanga kimuonekana yukokama masogange sema huko nyuma lawama zaidi . Basikidume nikajikaza nimtoe lunch...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Binafsi nna group moja tu la family... Huwa nawashangaa sana wale wenye groups karibu 50+ za Whatsapp hivi huu ni ujanja au ni ulimbukeni? Isije kuwa mie ndio mshamba?!
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Kipindi nasoma nakumbukua nilikutana na hii kitu basi nilikua nasimama kwenye pesa tu na leo ndo naelewa ukiwa na pesa kila kitu ni mteremko tu!!! Vipi kwa upande wenu wadau wengine imekaaje?
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Tabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom