JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nina mwaka wa tatu huu tangu niache mvinyo. Ni raha sana. Enzi zangu nilikua kiongozi wa walevi. Asante Mungu
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Tembelea channel hii ya Youtube ka vichekesho tele. CHEKA tv
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Muonekano wako wa nje ni matokeo ya kile ulichokijaza moyoni mwako . Ikiwa umejaza mema utaonyesha mema na mabaya utaonyesha mabaya . Your outdoor appearance is the result of what you have...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Holla, December is coming, kibubu kimejaaa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya December yuuhuuuuu. Leave that apart, napenda sana kudance miziki inayochezeka kama hii, na nikiwa kwenye dancing...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Tengeneza akiba ungali bado na Nguvu
0 Reactions
4 Replies
706 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Nimejiunga JF kama miaka 3 inakata sijapokea msg yoyote hadi nimejishtukia, Kuna member ambae ana mwaka zaidi ya mmoja na hajawahi kutumiwa msg pm tangia...
1 Reactions
184 Replies
12K Views
Nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kifua upande wa kushoto katikati karib na titi. Majibu ya Hospital ndogo ya rufaa kipimo kilireact normal, nikaambiwa sina shida. Huko Muhimbili kiliandika...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
The prove of wisdom is wish to learn even from children.And the haste of youth must learn its temper from the gloss of ancient leather,from strength knit close along the grain. The school...
0 Reactions
4 Replies
602 Views
Habari za usiku wanandugu! Kuna hali moja unakuta ukitumia jina fulani unakuwa maarufu haraka na unafanikiwa haraka, Halafu kuna jina ukitumia unakuta hufanikiwi na kama unafifia Flani hivi! Kwa...
0 Reactions
11 Replies
918 Views
Ningesogea lakini usingizi ni zaidi [emoji120]
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumekua na katabia ka kuanzisha nyuzi za kitoto za tukutane hapa zinakera sana. Mtu frm no where anakuja na uzi kama umewahi kula chakula basi tukutane hapa[emoji23] [emoji23] seriously?? kama...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Mungu ashukuriwe sana kwa neema na baraka zake. Nimepata ajali ya kugogwa na gari wakati nakatiza njia . Nashukuru nipo salama ingawa nimepata jeraha dogo. Ahsate sana M/Mungu kwa kunilinda
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Tunajaribu kuzungumza kidogo, Hivi, Morogoro road ni jina la barabara au tuseme ni neno au je? na je, ni sawa kusema hivi "Niko barabara ya Morogoro road?" Na Kwa mfano wa Zulu wakiongea ki...
1 Reactions
6 Replies
876 Views
yani kila ukiwela status wao wamo hata upost usiku wa sa ngapi huu ni ufala acheni mambo ya kufatiliana maisha
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Kila nikimwangalia huyu Mtoto Baby KiwiGani na maisha mazima ya Ukurupukaji wa Baba yake Mzee wa Kukurupuka na Upopoma nahisi akikua anaweza akaomba tu auliwe au hata ajiue tu ili asipate aibu...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwanamke mdanganye tu hakuna namna. mwanamke wa kumwambia ukweli asilimia Mia Ni mama mzazi tu ambaye mpo naye mpaka mwisho.raha ya kukaa na mwanamke mpenz mdanganye..japo uongo hausaidii Sana ila...
0 Reactions
5 Replies
746 Views
Jirani yangu maarufu kwa jina la mama zey kaja kuomba hifadhi leo ajiegeshe hata sebuleni mpka kesho asubuhi mumewe akili zitakapo mrudia vizuri..kiss chenyewe anasema jamaa yake karudi kalewa...
10 Reactions
62 Replies
9K Views
unaiba mke wa mtu unaenda nae gest ya mbali kumbe kuna wanoko wanakuchora, mshamaliza kila kitu ile unatoka tu nje unakamatwa unavuta sigara kituo cha polisi afu me nakuja najamba silence...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wameshindwa kujua tatizo liko wapi?
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Hali ya hewa ya leo hapa T ilinitesa sana imefanya nizini. Bi mkubwa amesafiri kidogo akaamua kumwambia moja ya mfanyakazi wake akae home siku kadhaa kwa sababu nipo peke yangu,sijui hakufikiria...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Back
Top Bottom