JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimehamia maeneo ya Ukonga siku si nyingi nikikimbia Tabata nilikokuwa nikiishi. Kilicho nikimbiza Tabata ni kero ya wanawake pale mtaani, kila mwanamke anataka nilale nae. Huku Ukonga...
23 Reactions
298 Replies
31K Views
Mdau kutoka humuhumu JF anauliza sababu ya kuwekwa kiti cha plastiki katika baadhi ya guest house. Anasema huwa anapata tabu sana pale anapopata kuku wa kienyeji akiingia tu hukimbilia kuketi...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Kuna watu wananiambia et ex wangu siku hizi kapendeza anang'aa ile mbaya, so wananishauri nimrudie...... Jaman hebu tuwekane sawa, ina maana wakiipamba shule niliyo isoma primary ikapendeza ndio...
8 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari za siku nyingine JF Leo tarehe 11/12 Miaka 26 iliyopita nilizaliwa katika hospitali ya KCMC. Ilikuwa ni siku ya jumatano majira ya usiku saa tatu ndipo nilipoingia kwenye dunia hii...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
AYEYA
1 Reactions
9 Replies
801 Views
Stress za mapenzi zinaweza kukufanya ukahudhuria msiba hata wa mtu usiyemjua ilmradi upate tu nafasi ya kulia Nawasilisha
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Makundi ambayo ni Wakala wa Umoja wa Mataifa (UN), yametoa tamko la pamoja kupinga vikali vitendo vya upimaji wa ubikira vinavyofanywa kwa wanawake na wasichana katika nchi zaidi ya 20. Zoezi la...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
wakuu siamini kama waganga wote wa Tanzania hii pamoja na Mshana jr wameshindwa kuagua na kutambua MO alipo ili wachukue kitita cha billion moko
0 Reactions
13 Replies
2K Views
The internet/social media is all about interaction. Na one thing it brought ni a false sense of belief kwa watu kuwa wanamjua/elewa mtu kutokana na vitu anavyoviandika au wanavo-interact nae...
28 Reactions
127 Replies
6K Views
Niko kwenye bus narudi zangu home mida hii na nitashuka manzese muda si mrefu,bus zima kimya nikaona ngoja nianze zogo,nikamwomba buku mrembo niliyekaa naye kiti kimoja,majibu aliyonipa ndio haya...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Wadau kuna member humu huwa na michango sana na hufanya jukwaa kuwa zuri sometimes au baya sometimes ila kuna hali fulani ya kusahaulika mapema mno je mada zao wanazochangia zinawafanya wawe...
20 Reactions
262 Replies
18K Views
Dawa ya Kutopata choo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1; Mwanaume kulala kitandani uwo ni umama mwanaume unatakiwa ulale makaburini miguu unaning'iniza kwenyve msalaba 2; Mwanaume kuhema kila siku ni umama Mwanaume unatakiwa kubana pumzi mpaka...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
vioja vimezid
1 Reactions
4 Replies
1K Views
GIRL> baby wiki ya pili Sasa sijaenda saluni MWANAUME WA KWELI > nenda ukirudi utanikuta GIRL> mmh alafu baby kuna mkoba nimeupenda MWANAUME WA KWELI> endelea kuupenda GIRL> jomooon basi...
3 Reactions
75 Replies
5K Views
Nimejaribu kuacha kuandika matukio mbali mbali ya maisha niliyopitia lakini nimeshindwa jamani. Sema na nyie wanajf mna matusi mnakera kweli badala mkae hapa msome viroja mnaanza tena kunishauri...
36 Reactions
753 Replies
59K Views
Wakuu kuna hii information inatrend kwa kitaa yani kwa washikaji na maninja nadhani mtanielewa kuwa hawa manzi/warembo/watoto wazuri/ wanawake wanaoandikia mkono wa kushoto ni hatari sana...
2 Reactions
154 Replies
11K Views
Kila Mtu Aongee Uongo Wake Hapa Naanza Mimi Nimesoma Na Barack Obama
0 Reactions
87 Replies
12K Views
Back
Top Bottom