JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo hayo
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini za muda wadau. Mimi nimekuwa nikisikia tu mara ooh wanaume dar wanaume wa dar ila sijajua hao wanaume wa dar ni kina nani? Ni wale wazaramo na wandengereko wapenda vigorodo? Ama...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nipo hapa kijiwe fulani nimekaa namsubiri mgeni wangu ashuke kwenye daladala basi stori za hawa jamaa zipo hivi Basi mmoja anawaambia wenzake hivi: Mwanaume acha kuzubaa ukiwa mjini MKEO ATAKUWA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukifatilia huyu jamaa kila akishinda gori leo kesho famous people yeyote lazima afariki.
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Si kila mmoja wetu amefanikiwa kufikia level kubwa ya Elimu wengine tuliishia Shule ya Msingi! Binafsi mimi Nimeishia darasa la 5, baada ya kujikuta sipendi shule wala kusoma.. nikaona haina...
12 Reactions
294 Replies
16K Views
Hivi neno " kudamshi" maana yake nini??
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Mimi nipo kitandani kwangu naona usingizi sipati ngoja nivute kamda
2 Reactions
135 Replies
6K Views
Sijui kama I've spelled her name right...but u all know her and how much shes missed... Release urself Miss.
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Weka listi yako ya nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza. Mimi playlist yangu ni hii.. >> Mr Eazi -Hollup >> Mr Eazi -Sample you >> Dj spinal ft Mr Eazi -Ohema >>Designer -Panda...
6 Reactions
196 Replies
16K Views
katika kesi nyingi za ugomvi wa wanawake wanapenda sana kudharirishana kwa kuvuana nguo. Wanaume hata wapiganeje huwezi kuona wanavuana suruali. wamama na wadada vipia hapo, Huyo mwenye kanga...
4 Reactions
43 Replies
11K Views
Wale waoga wa kutembea usiku bado npo.mie nilisha acha kitambo ilikuwa nikitumwa usiku dukani yaani inakuwa kama wajatuma mtu wanakuwa wametuma felali ni balaa
0 Reactions
6 Replies
717 Views
Nachukua nafasi hii kukutakia Birthday njema naomba Mungu azidi kukubariki akuongoze katika kila jambo ambalo utakuwa unafanya ili uweze kufanikiwa pia akusaidie ili uweze kuona miaka 100 ijayo...
0 Reactions
77 Replies
9K Views
Bi mkubwa kapoteza kadi yake ya bima sasa mwezi mzima namzungusha leo kanikomalia nikamchukue tushugulikie tumalize Naenda mfuata namkuta yuko na rafiki yake, eti anamsindikiza,sasa hizo stori zao...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika vitu vyenye majina mengi hapa bongo na duniani basi ni fedha!Naweka machache hapa,hebu nawe ongezea tuone maajabu ya fedha! -Pesa -Mkwanja -Mapene -Mshiko -Noti -Mchele -Mavumba -Ngarawa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ushawahi pitiwa kitandani ukakojoa acha hiyo wale kuota usiku mpaka unaamua kushare ndoto kwa kuongea huku umelala .mie niliota tunapigana acha mwenzangu nimpe kipigo cha adabu alikimbia...
0 Reactions
6 Replies
681 Views
Masingano alikuwa na mtoto mmoja tu aliyeitwa Singano. Singano alikwenda kusoma Ulaya wakati huo Sesingano alishatangulia mbele za haki. Singano alipata barua ya ugonjwa wa mama yake. Aliwahi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Dah nilijua ni bonge la msosi kumbeee... HOTEL ZA KITALII BWANA!!!! Unaenda Kempiski unaona menu imeandikwa: Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with...
10 Reactions
30 Replies
8K Views
Zamani ilikuwa mwanamke akipika Chakula halafu mumewe akakataa Kula kwasababu hajakipenda walikuwa wanalia sana... Lakini siku hizi mwanaume akikataa Chakula mwanamke anakichukua mezani anarudi...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Swala hii itapigwa leo saa 6 usiku na wazee wenzie ,kaniambia swala hii huwa ni ya kushitaki kwa mungu juu ya kiti kilichopotea na kulaani aliehusika kwa njia yoyote hata kama alisaidia kununua...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom