Juzi kuna shosti yangu limemkuta jambo. NYUMBA aliyokua anakaa alishawahi kuishi mwanaume Fulani na familia yake. Sasa siku ya tukio wakati yuko ndani akasikia MTU anagonga geti lake kwa nguvu...
Mimi kabisa labda utoto ulikuwa unanisumbua au niseme ussta duu eti nihonge mwanaume chaiiiiii naanzaje kwa mfano?
Asikwambie mtu yani unaenda kumdangia mwanaume huna mpango naye alafu anakukopaa...
Dhambi kila mtu anazijua.ni kuenenda kinyume na anavyopenda MFALME MUNGU JEHOVA.mimi Binafsi nilivokuwa mdogo nilijiwekea lengo kwamba ninatamani niishi maisha ya kitakatifu bila kufanya dhambi...
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi Lenye Namba Za Usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Ngorika Linalosafirisha Abiria Kotoka Arusha To Dar, Dar To Arusha Lilokuwa Linatokea Arusha Kwenda Dar, Lilikua...
Siku za jumapili mchana huwa ninapata njaa kali, na ninakua na appetite ya haja ndio maana huwa
Binafsi napenda kula pilau ambayo imechanganywa na nyama nyingi humohumo(sio zile za mchuzi) then...
Kwa mwanaume hata km uwe strong vp .. Samani ya mkia wa nje ni kubwa.. Lazima utakustua...pia lazima utageuka kuangalia...wengine wanajifanya hawageuki hawana lolote moyo wao wote unawaza mkia...
Leo najivinjari tu maeneo ya Tabata. Nlianzia 40/40,nikahamia MICASA, nmesogea THE GREAT then ntafika
Wandugu mliopo TABATA kama upo maeneo haya tuwasiliane please tugonganishe. Nataka nivifaham...
Haijalishi ni ndugu, rafiki, jirani nk lazima kila mtu alishawaiombwa hela na mmoja kati ya hao watu.Hilo ni jambo la kawaida. Kuna mwingine anaweza kukuomba umkopeshe kiasi kidogo, ambacho...
Haipendezi wanaume kuwa na mguu mdogo,mwanaume kamguu kama msichana ni aibu kubwa,mwanaume guu unatakiwa angalau avae 45 au 44 ila sio 39 au 40 kama mdada. Wanaume wa dar vimguu vidogo sana na...
*Bado nalia na hizi smartphone, mwenzenu leo nilikuwa mbali kidogo na nyumbani mara nikapokea sms kutoka kwa mshua ikisema "Njoo nyumbani mara moja". Sasa badala ya mimi kujibu "kuna nini?" mimi...
1)barafu (mzee wa bombadia)
nilidhani ni 50-60 ila nahisi ni 30-40
2)Mshana(Dr Leakey wa Uchawi) 40-50
3)Mzigua 20-30
4)Sky eclat ( anayejifanyisha wa mtogole) 40-50
Weka list yako
Kupoteza kitu ni jambo la kawaida. Show me a person ambae hajawahi poteza kitu, and I'll show you a liar.
Lakini kuna vitu vingine mtu unapoteza au ibiwa, ambavyo kwako vilikuwa na thamani...
Ikiwa ni Usiku Mwingine Tulivu tena, wanaJF niwakaribisheni katika Uzi huu Maridhawa wa Kushirikishana tafakuri mbalimbali za Maisha..
Leo tuangalie hii case ya Changamoto ya Kukoswa koswa na...
Ni miaka miwili tangu nipo na huyu mpenzi wangu anaitwaa sharifaa ...nimempendeaa ufupi wakee ni mfupiii sana ...mashikajii wamenisema sana nimuache siendani nae lakin awajuiii ...mambo aliyo...
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana....kuna mtu wangu alikuwa akiusikia huu anajua...KIFUATACHO ITV NI.......................Weka old school yako moja tujue inakukumbusha nini.
Mwaka 1982 hadi 1983, Rais Magufuli alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati.
Kwa wale mliobahatika kufundishwa na JPM mje hapa mtueleze uwezo wake wa...
Wale wa kwenye ndoa pliz mkae mbali na uzi huu msije kufa kwa stress.
Tujadili yale yanayotuhusu sisi mabachela vile tunaishi kwa Raha kuliko walioko kwenye ndoa,
vile tunavyowatafuna wale...