Jana nikiwa kwenye ofisi za kampuni za mabasi za Adventure na Saratoga jijini Mwanza niliona kituko cha kumalizia mwezi wa Julai, 2018 kutoka kwa kaka ambaye alijigamba kuwa ni mkurya na kweli...
Nimejaribu kujiuliza maswali haya nashindwa kupata majibu sahihi
1) akianza kukutongoza kama hamfahamiani,ukimuuliza vipi una mke ,mchumba au mpenzi
Majibu: kama ana mke,"Alinizengua tukapigana...
Aisee hakuna kipimo kigumu cha utu Kama kupokea pesa kimakosaa... Wachache Sana hurudishaa pesa hizo kwa Muhusika
Mimi nakumbuka nilikuwa Nipo kwenye Mitihani ya mwisho ya chuo mwaka Jana hapo...
1. Kiss
Kwanini uombe mwanamke akukisi. Ni wajibu wake kukukis sasa kwanini unajilainisha lainisha.. Bebi naomba unikis huo ni ushamba. wajibu wake kukikis. Tabia zenu za kuomba omba kukisiwa...
Namshukuru Mungu muumba Mbingu na nchi.
1.Naomba siku yangu ya kuzaliwa niisherekee tofauti kabisa na Wanajf wenzangu.
2.Naombeni nikaribishe maswali kutoka kwenu uliza chochote nitakujibu?
Acha...
Wakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie...
Kuna mtu ambaye hajawahi kuongopa wajameni.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Naombeni jibu uongo ni nini?
Eti mapenzi bila uongo hayaendi? HAYAFANIKIWI.
JAMANI KWANI UONGO NI NINI?
Mrs...
Leo nimeamini wanawake wenye kazi wanadumu kwenye ndoa .
Hawaombi ombi helaa hovyo kwa wanaume maana mishahara inawastiri.
Wanawake wa kileo wasio na kazi ni pasua kichwaa si etiiii eeeh wanaume...
Hakuna kitu kinachompa binadamu majuto moyoni mwake kama siku moja akakumbuka yote aliyoyafanya yalikuwa ni kuupoteza muda wake tu. Alitumia nguvu nyingi, aliacha vyote kwa ajili ya kitu kimoja...
Humu tuna-interact na watu wa aina mbalimbali, na kulingana na jinsi watu wanavowasilisha mada, ku-comment au avatar walizoziweka, watu hujenga akilini mwao taswira ya jinsi huyo mtu alivyo.
So...
Habari ya muda huu wakuu..,
Niko nawaza hapa mzungu asiejua kiswahili hata kidogo ikitokea yupo Tanzania na akapata shida flani ya kumfanya akatafute msaada kituo cha polisi nina imani atapata...
Heshima Yenu wakuu, eti mashine ya Kutengeneza au Kuprint Id/vitambulisho ni sh ngapi na kwa anayejua jina lake na upatikanaji wake tafadhali anielekeze
nilikuwa nikiona ndege(aeroplanes) zinapita natamani siku moja idondoke jirani na homu ili niione kwa karibu na niokote vitu.
watoto wa kitaa, ujinga unawazwa tangu hatujui mema na mabaya.
Hili suala limekithiri sana,na marejeo yangu ni humu humu jf.
Kwa kukithiri kwake mpaka imefikia hatua kuhisi kama vile wanatuchora au wanafanya utafiti fulani,yaani kwa ufupi hawako serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.