habari za weekend wakuu i hope mko salama wote
Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu siku hizi nashawishika kuanza kufanya biashara ya kupaka kucha wakina dada au kina mama sababu ni kazi...
Heshima wana MMU, nimewamisss Sana baadhi ya members hapa: Lara 1, Preta na miss chagga. Aliye karibu na Moshono lounge apitie counter Kuna chupa ya double black.
Brace yourself like a man; I will question you, and you shall answer me. Job 38:3
Ile naingia kanisani paap! Naona kwaya ya wababa wameshona mashati ya vitenge, wamependeza kweli kweli!
Ghafla...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE.
Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili...
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA?
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. Wewe ni muhenga.
2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
Yamekuepo matukio ya ajabu kwenye makanisa miaka ya hivi karibuni hasa nchini Afrika ya Kusini.
Hili ni tukio lingine la ajabu na lililo washangaza wengi baada ya Mchungaji huyu kuwaambia waumini...
Muonekano mpya wa Ommy Dimpoz Baada ya Kupata Nafuu
Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amekuwa akipatiwa matibabu Afrika Kusini mara dada ya kufanyiwa upasuaji wa koo. Hizi ni picha za mwanzo...
Ewe mwanamke na msichana.....
Hivi unajiskiaje pale unapokumbuka ile fact kwamba...
Kuna siku wazazi na ndugu zako watafanya exchange ya wewe na NG'OMBE au TUMBUZI kwa Mme wako......
Msijibu...
Tushajizoesha mitaa/maeneo yetu kuyapa majina mbalimbali ya nchi mbalimbali, hebu taja jina la nchi ambayo ulishawahi kuisikia katika mitaa yako au nchi yoyote uliyowahi kuisikia ndani ya TZ na...
Habari wakuu,
Kuna mambo ambayo huwa ninashindwa kuelewa pale binadamu mwenzangu wa kiume anapofanya eti kwa ajili ya Mwanamke, tena wakati mwingine ni mpenzi tu.
Naandika haya nikijua...
Sisi wazee wa MM na JF kwa ujumla group letu limepungukiwa na wadada baada ya wadada baadhi kuwa masomoni,makazini nje ya nchi na company yetu kwa sasa imepwaya hivyo tunatoa tangazo tunahitaji...
Amani iwe juu yenu
Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kua hai na mzima wa afya kwa kipindi chote ambacho nilikua kifungoni(ban) mpaka sasa.......Hakika nilikua katika wakati...
Rejeeni tu kicha cha habari kisha mtoe mchango wenu.
Kwa kuanzia tu mimi natamani hata kabla sijafa niwajue au nionane na hawa members watatu tu kwani nawakubali mno.
Chachu Ombara
Interest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.