JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huu ni kwa mujibu wa utafiti nilioufanya naomba uzi huu usiondoleweeee maana watani zangu mpooo haya twende sasa Tukianzia nambari moja hapa nazungumzia ubahili wa kutoa pesa mfukoni. 1.waha...
5 Reactions
48 Replies
14K Views
Lizzy: For obvious reasons. Erickb52: Kwa kum cheat Amyner , Amyner: Kwa kum cheat Erickb52 The secretary: Kwa kumkataa bishanga,unamkataa bishanga we nani? Asprini: Warembo wote jf wa...
20 Reactions
273 Replies
13K Views
Ndugu Zangu Katika Kristu “Tumsifu Yesu Kristu” Kama Mafundisho ya Kanisa Yasemavyo Kuna aina Tatu za Kanisa 1.Kanisa la Mbinguni 2.Kanisa la Duniani 3.Kanisa la Toharani Pia kwa Imani yetu...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
......
0 Reactions
7 Replies
635 Views
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika. Daktari: hilo tatizo lilianza lini? Mngojwa:tatizo lipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa" Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
*Bado nalia na hizi smartphone, mwenzenu leo nilikuwa mbali kidogo na nyumbani mara nikapokea sms kutoka kwa mshua ikisema "Njoo nyumbani mara moja". Sasa badala ya mimi kujibu "kuna nini?" mimi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ili ujue kwasasa upo JF basi lazima ukutane na mambo haya; ° Kila member ana maisha mazuri ° Members wote wana degree na kuendelea ° Wengi wetu tunafanya kazi ofisi nyeti serikalini ° Hakuna...
2 Reactions
18 Replies
910 Views
Kanisa Katoliki kama Taasisi ya Dini ina Amri zake, Amri ambazo Kila Muumini lazima azifuate! Ziko Hivi! 1. HUDHURIA MISA TAKATIFU DOMINIKA NA SIKUKUU ZILIZOAMRIWA 2. FUNGA SIKU YA JUMATANO YA...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Mnajifahamu,wote ambao nimewasarandia,wote ambao nimewagonga,kuanzia leo siwajui msinijue.Tatizo lenu mkiniomba hela ya saluni nisiwape mnakimbilia kunisasambua jamvini,mnanchekesha.Narudia kusema...
13 Reactions
121 Replies
6K Views
Ndo natoka kuchungulia jukwaa la siasa,du maskini rejao,nimekuta anapewa za uso.........poor guy.....namsifu ana moyo lakini maana katika hali ya kawaida ukidundwa ile mingumi utaishia mwaisela.
3 Reactions
106 Replies
6K Views
[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂ Ulihukumiwa jela miaka 30 kwa kosa la kumpa mwanafunzi mimba alafu siku umeachiwa huru unakutana na yule mwanafunzi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Unapoamka asubuhi, amka kama simba dume, usiamke kinyonge kama nyumbu. “Arise like a lion to serve your Creator in the morning” (Shulchan Aruch 1,1) Kuna uhusiano mkubwa kati ya jinsi unavyoamka...
0 Reactions
64 Replies
3K Views
Hivi umeshawahi kujiuliza hata siku moja kusuduo la wewe kuumbwa! Je umeumbwa kusaka tonge ? Umeumbwa kuacha historia? Au umeumbwa ili kuabudu? Sasa ona maajabu haya; Idadi kubwa ya watu duniani...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Nataka kuwa mjenga hoja mashuhuri humu nipite njia zipi
1 Reactions
49 Replies
4K Views
MAMA NA WANAWE WATATU.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Half-caste kama tunavyojua inatumika kama kitambulisho kwa mtu ambaye amezaliwa kutokana na wazazi kuwa wa utaifa au ukabila mbalimbali. Yaani unakuta baba mzungu mama mweusi, au baba mtu wa asili...
1 Reactions
248 Replies
12K Views
Wakuu habar za siku? Niliwamiss wakuu, nilipotea kdg humu! Yaliyonipata ni kuwa kuna siku nililkunywa bombardier nikasahau nywila yangu!!! Lkn baada ya muda kupita nilikumbuka! Nimekosa mijadala...
1 Reactions
4 Replies
549 Views
Back
Top Bottom