Mzuqa,
Nilipokua field Nyarugusu nikimalizia thesis yangu katika Masters in Geology mida ya jioni nilikuwa najichanganya kitaa kula sambusa za mlenda.
Hizi Sambusa zinahitaji utaalam wa hali ya...
Kwa kuanza tuwaombee dua wanetu, wajukuu zetu, wadogo zetu wanaofanya mitihani yao leo na kesho...
Turudi kwenye mada,
Nakumbuka siku moja kabla ya mtihani wangu wa darasa la saba tulikwenda...
najiuliza sana wanawake wengi wanapenda sana kumganda mtu anaemrishisha kitandan (kumkojoza) yan hata ukimkataa na akaenda kuolewa sehem nyingine,then ukamrudia atakubali huo mchezo mfanye ili...
Ni kweli Mama nyau hivi majuzi nilikuona uko na vitoto vyako vidogo viwili(vifaranga vya nyau) ulikuwa unavinyonyesha. Na baada ya muda ukaondoka ukaviacha pekeyake, mimi nikajua umevitelekeza...
Na andika mada hii huku nacheka,leo nimeanza kuchangia mada kulingana na maoni ya watu,yaani baada ya jusoma kichwa habari bila kusoma kilichoandikwa nikaenda moja kwa moja kwenye maoni na...
Siku kama ya leo tarehe na mwezi kama wa leo miaka mingi tu huko nyuma nilizaliwa.
Wewe si wewe pekee....ni KILA MMOJA ndani yako.
Kuna watu wanaoamini kuwa FULANI ni mwema ama m'baya na...
Jamaangu anamiliki gari la kunyonya vyoo amenilalamikia watu hawanyi.i kabisa awamu hii kiasi kwamba kwa Siku zamani anapiga trip 7 hadi kumi sasahivi hata 3 hapati,hali mbaya sana
1. Hii ni picha ya aina gani?
2. Eleza aina ya hali ya hewa ya eneo hili?
3. Taja mazao matatu yanayoweza kulimwa kwenye ukanda wenye iyo hali ya hewa?
4. Jadili vitu vitatu unavyoviona kwenye...
Habari za Jumapili wanajamvi.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Huwa najiuliza kuwa kama ikifikia kipindi Tanzania ikauzwa kwa mwekezaji basi makabila yatasajiliwa ulaya kulingana na tamaduni...
Shule za Msingi burudani sana kuna watu kila siku lazima mifuko ya Kaptula au sketi inatuna.
Wengine walikua wakija na mahindi ya kukaanga/Ruketo hapa palikua pazuri mwalimu anapiga pindi nyie...
kimya kingi kina mshindo,hivi mnavyoniona ndo nimejificha chooni na ka kanokia tochi natuma ka post haka.
Nilipata safari ya kikazi bujumbura,sijui shaitwan gani aliniingia nikaenda eneo la...
*Sijawahi Ona Mchungaji Akihubili Kuhusu ile Ramani iliyopo Nyuma ya Biblia*
*Nafikili itakuwa Wanatuficha Njia Ya Kwenda Mbinguni*....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa!
zifuatazo ni ajenda
Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. CuxKutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na...
Kama na wewe ni miongoni mwa waliokuwa bored sana sana na sana, naomba utie neno hapa pengine unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao siku yao imeharibika kabisa juu ya hichi kitendo cha jf kuwa...
Huyu mwankuga mzee wa kupenda pesa na anapiga suti wiki nzima, braza joji mnamkumbuka? afande maria je huyu alikua analinda bweni la wanaume alafu anabonge la msambwanda, pale mesini muda wa msosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.