Jamani habari zenu? Kwa muda mrefu nimekua nikila chakula maeneo ya cafeteria iliyoko ndani ya mabibo hostel. Lakini niliamua kuacha kabisa kula cafeteria baada ya siku moja kuona paka...
Ilikuwa nikipata pesa tu nikimaliza kutoa mahitaji madogo madogo nyumbani ikiwemo pesa za matumizi kwa mke wangu
Basi hata kama nitakuwa na laki mbili zote nitazimaliza bar kwa kujenga heshima...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huu ni uzi kwa wale wote ambao wanahisi wanagundu yaani no bahati.
Tiririkeni hapa na hayo magundu yenu.
Mimi binafsi sijawahi kupata demu mtandaoni, hili...
Nakumbuka siku moja nimekaa na bibi muda wa jioni tunabadilishana mawazo ya hapa na pale,katika zile stori tukaongelea kuhusu kuoa mwanamke na maisha baada ya kuoa ,akasema
"Mjukuu wangu fanya...
Dha sitokuja kusahau,
kuna kipindi tulikua tumepanga sehem kulikua kuna wapagaji kawa 4 tulikua tuna share choo na bafu, kuna siku nilichelewa kulala nilikua naangalia movie usiku, mida kama saa 5...
Huu ni uzi wa kujibu hoja bila kuweka hitimisho,yaani kuiacha hoja hewani hewani,na itakuwa vizuri zaidi kama haitaeleweka.
Zingatio :
Chunga heshima za watu,tumia lugha nzuri na tusitiriane...
Hello maladies and gentlemen!
Karibuni hapa tujuzane ladha uipendayo ya kilaji ukipendacho, na pia kupeana uzoefu wa ladha mpya ya vilaji!
Yawezekana ukataja kilaji ukipendacho na mdau mwenzako...
Nadhani wengi mmewahi kusoma somo la sayansi mada ya uzalishaji kwa shule za msingi au Reproduction kwa secondary
Wewe kama mwalimu wa somo husika wa darasa husika kuna mwanao yumo, Wewe mzazi...
Kudate na vitoto vya shule kazi sana ...Nimekuta text "baby naomba 208"
baada ya kama nusu saa hivii ndo nikaja kuelewa alichomaanisha .. Eti "baby naomba tuonane"...
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila...
Naomba kila aseme atafanyaje kuchukua hizi pesa NYUMA YA HUO MLANGO KUNA DOLLAR BILLION 15.. UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUINGIA KWA KUPITIA HUO MLANGO... KAMA NDO WEWE UTAFANYAJE????
(...
Ni mwenye akili timamu ila najiuliza, mwanadamu huyu anawezaje kuflash choo kwa maji wakati yeye mwenyewe anaondoka bila kutawadha na akijaribu Sana anajifuta kwa tishu! Hii nii akili matope?
Italian Relationship:
1st day= Sex
2nd day= Sex again.
French Relationship:
1st day = movies & kiss
2nd day = Sex
3rd day = Sex again
British Relationship:
1 day= hangout & kiss
2nd day = kiss...
Humu jukwaani kulikuwa na mtu muhimu sana anaitwa masai dada sikuhizi simwoni... au simu yake imepandisha mori haiingii Jf? Mwenye taarifa zake atujuze.
Habari ya jumapili wakuu.
Niende kwenye mada moja kwa moja
Kuna mambo ambayo huwa najiuliza, pengine na wewe huwa unajiuliza lakini unakosa majibu au unapata majibu yasiyojitosheleza. Mambo...