JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Napochati na mademu najikutaka kwenye sintofaham nikiona ametumia hili neno "jomoni" huwa najiuliza ndo kudeka au kitu gani maana hata nikilitamka linavyo sound halifanani na neno "jamani".acheni...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nipo Maeneo ya Kijitonyama Karibu na Baa ya Irene Uwoya kuna Milio kama ya Risasi inatokea maeneo ya Mabatini au Africa Sanaa. Kulikoni Leo imerejea Tar.16.08 kuanzia Saa 3 mpaka sasa kumbe ni...
1 Reactions
106 Replies
15K Views
Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu. "MAKALIO YAO" Asilimia kubwa ya wanawake hasa wa mjini wamekuwa wakitumia...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti? Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa? Hebu watokeee member wa5 wa kiume...
13 Reactions
636 Replies
23K Views
Hello
0 Reactions
4 Replies
1K Views
...Ni muda kuwakumbuka wanaJF wenzetu popote walipo kwa kuwatumia salaam za kuwatakia kheri kwa kila walitendalo. salaam zangu za kwanza ziende kwa..dada Valentina popote alipo. ...za pili ziende...
7 Reactions
427 Replies
51K Views
Katika Historia ya nchii tokea izaliwe Mkoa wa Mara ( Musoma ) haujawahi kuwa wa mwisho katika matokeo yoyote yale ya Elimu kwa nchi hii ya Tanzania hasa ikiaminika na kujulikana kwamba kama kuna...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Niaje wazeiyaaah... Mko Bwaxx... EBANA SAWA : Ni jtatu saa tano asubuh Niko room (block D 204) tunaishi masela 8 (ingawa kuna vitanda 4). Niko peke yangu nachek ratiba sina pindi leo.. Aah...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
.
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Naomba niulize kubadili cheti ambacho kime kosewa jina la Academy issue (Cheti cha Shule na Cha Kuzaliwa hua ina cost how much)??? Pia kama kuna mtu ali pata tatizo hili plizz naomba ani tafute au...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika. Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani...
43 Reactions
837 Replies
39K Views
openly talk longer no we where......
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Kama hauna XVIDEOS kwenye simu yako reply "ME'':D :D :D :D
1 Reactions
13 Replies
2K Views
2 Reactions
1 Replies
918 Views
Ukweli ni mchungu sana asikwambie mtu,ila ukweli huwa mtamu ukijiandaa kuupokea na kuukubali,kwani huimarisha afya ya AKILI na MOYO. Ukweli huleta upendo na amani,ukweli hufichua maovu,na ukweli...
1 Reactions
112 Replies
6K Views
Ndugu zangu, humu kuna member ni makini na wanaelewa mambo mengi mno na michango na mada zao zinakufungua sana akili na kukupanua kimawazo ila kutokana na mfumo kutowatambua wanakosa haki yao...
5 Reactions
483 Replies
20K Views
Jamaa mmoja kagoma kupisha ambulance, dereva anapiga kelele atoke barabarani jamaa anajibu ebu zima dude lako Usinisumbue:p:p:p:D Juzi kati napo kuna jamaa nae alikua anatembea njiani mwenye gar...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi nauliza Ni nani aliwapa wazo waTanzania Kua Nauli ya bodaboda ianzie 1000 ✅ 💫 💥 🔥 💡
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Back
Top Bottom