JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanamume mmoja nchini Kenya ameshushiwa kipigo na majirani huku mke wake wa ndoa akishangilia Mwanaume huyo ambaye alikuwa amelewa alianza kumbugudhi mke wake kwa matusi na kelele ambapo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wimbi la wabunge kuamia ccm limefika nchini CHINA mbunge wa nchi hiyo nae ameamua kuunga juhudi za Rais mkono kaingia CCM leo tunategemea jina lake kupitishwa kugombea kati ya hapa hapa Tanzania...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Tumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Tangazo Tangazo natafu wafanyakaza wawe namika 18,27 awe ana chet chasho awe amifika fomufo? Awew anaju ingish vizurd nipatikana namnba 0755721252
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Muda mrefu nimekuwa nikisikia kuhusu wanaume wa Dar es salaam nikawa sielewi elewi ila huyu paka kanisaidia kuelewa kaulimbiu ya "Wanaume wa Dar es salaam Bwana, ...:p!.
1 Reactions
2 Replies
517 Views
heshima kwenu wakuu! kama ifahamikavo kila mkoa / jiji lazima kuwe na vituo vya daladala kwaajili ya usafiri. Lengo la uzi huu ni kupeana mwanga kwa wale wageni na wasio jua wapi pa kupandia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Bangi sitoweza kuisahau kwenye maisha yangu sababu ya faida kubwa iliyonipatia na kunisaidia kwenye kufanikisha ndoto zangu . Wakati nasoma shule sikuwahi kusimama mbele ya darasa na kuzungumza...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
He Wallah Mungu Kanipa Nilichomuomba MashAllah Raha, Na Wala Si Shriki Huba Tulimenisomba Nala Nalala Jamani Rahaa. Ntakulinda Kwa Kunuti Nitapiga Na Jihadi Pendo Liwe Madhubuti Wasiingie...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Huwa napitia baadhi ya maoni ya wadau kadha wa kadha na kuona ishara ya watu kuwa wapo kwenye mahusiano. Swali je huwa ni ya kweli au mizaha ya kusogeza siku tu... ? Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Hii mesage hua inatibu , ,homa ,kifua,kichomi,magonjwa ya moyo,presure na msongo wa mawazo na magonjwa mengine 87 kwa wanaume.
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Mimi nafanya kazi bank nitamtengenezea HELA wewe je?
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Masikini wakiingia mbinguni kwa mbwembwe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Oya wanaume wa dar mnazingua sana aisee Yaan unachat na dume zima mara linaaza Jomoniiii Miseeeew Waoooooo mara sijui nakojoa mimi Oya wanaume wa dar achen ukuda...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana Jf naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimegundua kitu kikubwa sana tangu niifaham Jf ,nmekuwa nkivutiwa na kuelimika na mambo tofauti tofauti ya kimaisha...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee...
2 Reactions
12 Replies
19K Views
Hii ajali ilitokea juzi maeneo ya kilimanyege. Ilikuwa mbaya sana...si tumefika pale kwenye ajali tulikuta watu wamejaa hasa. Nlishangaa kweli siku hizi hamna wanaume. Jamaa mmoja analia sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna thread ya Mshana Jr inayosema kuwa Kiranga sio atheist ni non-believer inaelekea page ya 50 ikiwa imekwama kwenye neno "akili...". Kwa upande wangu naona mjadala ule hauna maana yoyote...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Jibu lake hili hapa: Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
4K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom