Kuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo
Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu
Juz kati tulikosana kidogo na...
ilikuwa jumamosi saa sita naingia zangu jf ili nikapitie uzi wa Raynavero kuhusu jf ingekuwa shule ya bweni mara paaap nakutana na Padlock kosa likiwa highlighted kwa chini
hapo ndipo nikagundua...
Kama umewahi kumla dada wa rafiki yako kimya kimya au hata mdogo wake na kwa wanawake kama umewahi kutembea na kaka wa rafiki yako kimya kimy au mdogo wake huu ndio muda wako wa kutubu usamehewe...
Habari za jioni wakuu.
Nakumbuka wakati nipo Dar nilikuwa mpenzi mkubwa wa kutembelea rooftop bars ama restaurants.
Kila mwezi nilipendelea sana kutembelea aidha Holiday inn roof top, Harbor...
Unatamani mwana jf gani laiti angekuwa single halafu anatafuta! Ili ujaribu bahati yako!
Mfano wa mbitiyanza demi yn4 ray shunie mzigua mama Sabrina sky eslat heaven sent everyn salt kapeace...
TUZO ZINAZOSHINDANIWA NI ZIFUATAZO:-:-
1:MEMBER MWENYE NIDHAMU ............
2:MEMBER ANAYE KUWA ONLINE MUDA MWINGI.........
3:MEMBER ANAYEPENDA THREADS ZA NGONO.............
4:MEMBER...
Guys ku-cheat ni dhambi...Ila ikitokea kama AJALI basi cheat na Mwanamke Mrembo kiasi kwamba waifu akikufumania anaomba kupiga nae Selfie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna misemo mizurii ipo na pia ipo mibaya mimi naanza na mizuri
Mrisho Mpoto-Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwaamini
Mwana FA -usipende amani wakati wa vita
Fid Q- Ukweli hauna Miguu...
🎵🎤🎼🎶🎵🎤🎼🎶🎼🎶🎼
👤 for Roma na
🙊 for Stamina
👤Karibu mzee kingunge kwenye makazi ya milele Mimi huku ninamji wangu tayari unaitwa nyerere ,nimeshtuka kukuona huku nini chanzo cha msiba..h,
🙊...
Hello Guys ma GT wa Jf.
Naomba tujuzane Tv channels ambazo hunyesha Documentary ya mambo mbalimbali.
Mm napenda hizi mbili.
DA VINCI LEARNING TV.
Hii ni bonge la Chanel aisee nimepata na kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.