hii ni mara ya tatu nalazimika kubadilisha avatar kwasababu ya baadhi ya member kuchukua nayoweka.Huo sio ujanja kabisa...Avatar ni unique na identity ya mtu tafuta yako
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Msinichoshe! nisiwachoshe! Tusichoshaneeeeee! Tupate habari kamili!!
I have nothin personal with our broders n sisters...
Kuna jambo kwa muda nimekuwa nalitafakari hivi kwanini wavuta bangi wanawachukia wanywa pombe na pombe. Kwa udadisi wangu nimeona ukimuelezea mvutaji madhara ya bangi lazima atadakia kwa kuiponda...
Kumekua na mabishano mengi sana mitaani kuwa maisha bila ndoa ni mazuri zaidi ya maisha ya ndoa,kwamba ukiwa Bachela au Single lady unakua huru no stress unafanya mambo yako kwa amani sana...
Members Ambao ndiyo walikuwa wachangiaji wakubwa kuanzia 2009..
MwanajamiiOne- Mambo ya Mahusiano she was A Champion.. Yaani Akitoa Mchango wake Mwaa.
Fidel80 - Kijana Machachari Sana...
Kadogo ila katamu sana !
Leo ni fujo na shangwe kila angle ya nchi yetu tukufu Tanzania. Watu wako vizuri baada ya kutoka makazini.
Maeneo yetu yale umati unaongezeka tu taratibu bila shida...
Chakula kinatupa nguvu, na mahitaji mengine yanayofanya uhai uendelee. Ni kawaida kutoa uchafu baada ya chakula tunachokula kutumika mwilini.
Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi...
Natumaini wote mu wa wazima wa afya. Kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale ninawaombea wapate nafuu.
Swali langu ni hili, hivi yule mpenz wako mliekuwa mnaongea nae usiku kucha mpaka simu...
Kama wengi tunavyoijua isidingo, mi tangia nizaliwe hadi leo bado haijaisha.
Basi huu ni uzi wetu wa maisha yetu hata watakao jiunga jf waukute na watakao ondoka wauche bado upo.
Lengo la huu uzi...
Habari wanajamvi
Wanaume mmezidi sasa,kama ni wivu umezidi kiwango
Upo kwenye social network kama vile insta,fb,jf na nk
Kama kawaida sisi wanawake tunapenda kupost picha mbalimbali kuonyesha...
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi...
Mwalimu alikuwa anafundisha kuhusu utawala ikawa hivi;
Mwalimu:diwani anachaguliwa na wananchi,Rais na wabunge wanachaguliwa na wananchi na....(ghafla wanafunzi wa upande wa nyuma wanaanza kuongea...
Mimi na mke tumekuja kipindi hiki huku kijijini Arusha.Nyumba yetu ya huku kijijini bahati nzuri umeme wa REA umepita karibu,ule wa elfu 27 tukawa tumevuta.Nilipoenda Tanesco nilijiandikisha kama...
Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala?
Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye...
Eti toka january mwaka huu uanze nani kakuvutia sana kutokana na thread zake ba comment zake?
mimi kuna
-Malco lumumba
-Habbu anga
-Damushin jukwaa la korea siriz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.