JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani kila ukiinua kichwa yumo anakuangalia tuu,ukisema upotezee ukirudi tena yumoo..wataalam wa mambo msaada hapa hii ina maana gani? Au nyie wadada kwa nini huwa mnatufanyia hivyo watoto wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mnaonunua nguo za ndani (chupi) za mtumba mna moyo sana!! . Endeleeni na moyo huo huo. Yajayo Yanafurahisha.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
WABONGO WANAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DAR-ES-SALAAM KAZI KWELI IPO: "Wizi" MBAGALA "umbea" MWANANYAMALA "mapenzi" KIGAMBON "vibaka" KARIAKOO "majivuno" MASAKI "majungu" TANDALE "ushamba"...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna kundi hili la makoma hawa wakongo walikuwa wanaishi Belgium hivi bado wapo na maswala ya muziki au walishaachaga muziki maana Kuna nyimbo yao ya buti na moyi ilikuwa inanikosha sana japo...
1 Reactions
2 Replies
779 Views
Habali wakuu nimeleta Uzi unaosimama upende sahihi WA wake zetu sisi wanaume, sina shida na wapenzi nasema na walio ktk ndoa, wanaume sisi sio waaminifu kabsa mwanaume tumekua wasaliti sana...
0 Reactions
2 Replies
402 Views
Haki sawa kwa wote ni jambo linalopigiwa upatu sana,mpaka wengine wakafika mbali kupiga kura za veto. Huwa nahisi kama vile tatizo ni la kubananga lugha na sura ya mtu tuambiwe si mtu ni mbuzi...
0 Reactions
9 Replies
738 Views
After sex she will text you. "Sex should last atleast 45 minutes. Imagine the hard labour of dressing up a skinny jean for a lousy 5 minutes. Whatch it next time.!" Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
14 Replies
752 Views
Aisee tukio ambalo siwezi kulisahau nilile nililokojoa mkojo kwenye kopo na kunywa baada ya kubanwa na kiu kikali halafu nyumba imefungwa mlango balaa yaani... Vipi wewe ni tukio gani ambalo...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
rejea kichwa cha habari hapo juu nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama...
3 Reactions
238 Replies
16K Views
Katika maisha ya ndoa lazima mkwaruzano uwepo wa hapa na pale Na mwanamke anaweza akakukosea na mwanaume ukataka umpe adhabu ili naye aumie,ajutie kosa lake ili asije akalirudia tena Ipi adhabu...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Mwaka 2012 nilikuwa nina demu.tunapenda lakini alikuwa kicheche.kuna Siku alitoroka nyumbani kwao.nikapata simu kutoka kwa mama yake anaulizia kama mtoto wake yuko kwangu ni nikajibu sijamuona...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe...
12 Reactions
338 Replies
14K Views
Kuna sehemu niliwahi kuona maneno haya. "Nimejifunza ya kwamba maneno matamu,uso wenye bashasha na ukarimu ni rasilimali za tabia"
3 Reactions
72 Replies
8K Views
wakuu nataka kufuga ndevu nimeshajenga banda je niongezee nini kingine?
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Habari za muda sitaki matusi,wala kejeli na vijembe wakuu. Nimekusudia kumsalimia mpendwa wangu wa siku nyingi sana ambae sijamsahau mpaka hivi leo ni Miss Natafuta. Popote alipo naomba mumpatie...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Imekuwa kero watu kukutafuta ujiunge na group zao. Please sikuha hapa niijiunge na group lolote. Kuna wengine yamewatokea haya?
7 Reactions
29 Replies
3K Views
nilifika hapo 2006 kwa matatizo binafsi kikazi, chaajabu wenyeji wakaniuliza 'umefiwa' nikawajibu 'kwani vipi!?' wakanijibu 'uliza huo mkwaju mbele ya shule ya msingi gambosi{inavyosomeka...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Fanya uje kwa haraka Ni wewe mpenzi wangu Mwenye shingo ya upanga.
7 Reactions
117 Replies
7K Views
Hii tabia ya kina sisi kuongeza 000 kwenye gharama ya kitu naona imekua fasheni sasa hivi. Mtu kanunua kibanio elfu 10 atakwambia kanunua laki. Kuna mafuta nilimkuta nayo rafiki yangu nikayapenda...
47 Reactions
273 Replies
16K Views
Back
Top Bottom