Naomba uzi huu uwe special kwa wakurya wa Tarime pekee
Gamasara,Kemange,Buhemba,Tagota,Magen,Kibumaye,Sirari,Bwirege,Nyamongo,Nyamwaga,Kiribo,Mgoto,Nkongore,Nyamwigura,Kebweye,Kubhitocho na...
Nitakuwa hapo for few days , kama kuna mtu wa kupiga story na kuhang out , please let me know, we can talk about life and businesses potential i.e exchange some ideas..
Gracias..
Sent using...
Ukweli ndio huo atakaekasilika sina habari nae na atakaenichukia sina mpango nae...
Baadhi yao wamekaa kazi kudanga na kuvuruga ndoa za wenzao kazi yao kubwa kutoa vishawishi miongoni mwetu sisi...
Tukiacha vigezo vingine sijui tabia, na vikolombwezo vingine, kati ya Sura na Chura kipi kinakuvutia kwa demu uliemzikikia?
Andika pasipo maelezo,
Binafsi ni SURA.
Kura zitahesabiwa na matokeo...
Habari wakuu , najitambulisha kama mwenyekiti wa wasoma comments wote, naomba mtambue kuwa mTanzania mwenzenu niliyokuwa na tabia ya kujisomea vitabu nimejikuta nikipata elimu kubwa sana huku JF...
Tangu saa tano asubuhi matangazo ya kisimbusi cha Azam Tv huku kwetu ukonga ayapatikaniki channel zote sielewi kwa sababu gani?
Ikiwa mwezi huu nimelipia 28,000 salio la mwezi nzima, sasa huku...
1. Nitaomba TAZARA na TRL wanikodishe reli zao zote zilizo ndani ya mji wa DSM;
2. Nitawaomba wenye daladala kuanzia Kumi wanunue hisa za kampuni mpya ili kununua mabehewa ya abiria na mizigo;
3...
WanaJF mnaoishi maeneo ya Bunju na Mapinga weekend hii niko huku navinjari kidogo na kuondoa mawazo. Tatizo ni kuwa si mwenyeji wa huku hivyo naomba mnifahamishe viwanja vya kula bata na kujidai...
Tanzania is a diverse nation.
Na kupitia diversity hiyo unapata lugha mbalimbali, more than 100+ language. Sio rahisi kujua zote, ila atleast mtu unaweza ukadaka maneno mawili matatu, kutoka...
Nikiwa Mwaka wa Pili pale udsm mwanangu mmoja alikuwa akisoma dit, alikuja kuchukua michoro yake kwangu pale udsm (Autocad drawings za Civil), baada ya kutoka pale akaenda kwa bro ake (alikuwa na...
Ni usiku mwingine tena ndugu zangu, tumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutujalia pumzi mpaka dakika hii!
Katika kupanda vyombo vya usafiri inatokea wakati mimi na wewe ambao ni vijana tunakuwa...
Ukweli sijawahi kwenda Tanga napasikia tu ...wenyeji wa huko naomba mnipe uzoefu sehemu nzuri ya kufikia, kutembea ili hasa hasa maeneo ya mjini. Dhiara yangu itachukua siku mbili mpaka tatu. Ili...
Wakuu natumai mko poa
Je wewe ni mjasiriamali na ungependa twende nao sawa?
Usisite nafasi ya pekee ya kujiendeleza kiuchumi na mali
Karibu whatapp group
TUONGEE UWEKEZAJI FORUM
Sent using...
Habari za ijumaa,
Nasikia mida hii mods wamelala, kama hawajalala sio mbaya pia nina swali kwao "kuwa na ID zaidi ya moja ni kosa kwa sheria za JF?" Baada ya swali hilo nawakumbusha mods tupo...
Kuna mtoto mzuri nimemfuatilia kitambo leo kaniomba nimuandalie wali na samaki mtamu kuliko wote kwenye dinner ya birthday yake
Nataka nielekee duka la samaki sasa hivi, nipeni ushauri nimchukulie...
Jf ina watu tofauti na wenye kujua vitu vingi, naomba tusaidiane.
Ni social network gani ina watoto wakaliii, ikiwezekana na link ueke. Karibuni tupeane mautundu.
sent using samsung galaxy s8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.