JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university...
3 Reactions
236 Replies
22K Views
Wanajamvi yu wapi mdau huyu, nimemtafuta sana simuoni,nimezunguka mitaa yote oysterbay,mikocheni,buguruni kwa mnyamani, kwa mtogole, masaki,mji kasoro bahari, singida,Arusha e.t.c, nitafutieni...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Ilikuwa kipindi nipo form six pale mbeya, ivumwe high school inasifika Sana Kwa viboko Ile shule, viboko Mia kawaida. Sasa kipindi hicho form five ndio walikuwa wagen wagen 2017, mara wakaweka...
1 Reactions
5 Replies
577 Views
Sisemi kwamba watu wasimuombe Mungu, la hasha. Dini zimetufanya sisi waafrika tumekuwa wapumbavu, na hili liko wazi kabisa. Mtu anaspend muda wake mwingi kanisani badala ya kufanya kazi. ambapo...
0 Reactions
4 Replies
620 Views
Ilikuwa February 2011 nilipopigiwa simu kupitia mwl. Wa Bweni letu wakati huo nipo kidato cha tatu.. Nikasikia sauti ya mama ikiniambia Sulle..(Jina langu la Nyumbani) Babu anakuita (Mara ya...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Habarini wana jamvi. Kwa wale waliosoma majengo secondary moshi mjini hebu tukutane hapa tuendeleze ummoja wetu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay...
6 Reactions
84 Replies
4K Views
Moja ya kisa nilichoshuhudia katika mji wa Shinyanga Binti wa miaka 24 baada ya kumuona baba yake akiwa na mchepuko mtaani ,maeneo fulani fulani,akatimka mbio mpaka nyumbani na kumwambia mama...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini, Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha...
5 Reactions
178 Replies
27K Views
Kama nilivosema
1 Reactions
136 Replies
8K Views
Leo yamefanyika maandamano makubwa kwenye nyumba nazoishi lengo ni kumbadilisha jirani yetu ambae huwa anapenda kujianika kibarazani kwake uchi(nusu utupu). Mange wa nyumba zetu hapa(mke wangu)...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanajukwaa, Nashea na nyie jinsi mseto wa pombe ulivoniaibisha nikatukana siku nilipoitwa kutoa nasaha kwa niaba ya baba wa bibi harusi kwakua mzazi wake anakigugumizi asingeweza kuendana na kasi...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana Jf leo ni happy bday yangu ila kutokana na vyuma kuwa vigumu,nimependelea kusheherekea mimi,mke wangu na mtoto mara nyingi tunapenda kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki Asante...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni kauli ya Jumapili ya leo. Kijana ana miaka 20 ana mjimama 39 aisee namuuliza mbona ulisema unakuja na mademu wawili alafu umekuja na mama yako? Ilikuwa ni bonge la soo jamaa anasema huyu ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Suali liko wazi. Humu sote ni watu wazima na wenye akili timamu na tunajua nini cha kufanya. Nataka kujua ikibidi,hivi huwa unatumia kigezo gani au vigezo gani kumpa mtu like ? Je unampa like...
9 Reactions
107 Replies
4K Views
Niende moja kwa moja kwenye maada... Mdada unapelekwa kwenye chumba kizuri haujawahi kuingia tangu kuzaliwa kwako humo mwisho wako ni viguest vumbi vilivyopo vichochoroni halafu unaleta mashauzi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kheri ya Siku ya Kuzaliwa Kwa WanaJF wafuatao! adjuti junior edwin 61 ELX Goodluck August Junior26 lukoma ManagerMp Roho Mbaya sindano butu The Certified Muwe na Miaka Mingi ya Kheri na Yenye...
0 Reactions
2 Replies
432 Views
Kuna masuala hufanya mtu muda mwingine anunue akaunt ya mtu kulingana na vigezo vyake tu 1.Jina lilivyo 2. Idadi ya followers 3. Aina threads na comments 4. Attention 5. Uthubutu katika michango...
3 Reactions
70 Replies
4K Views
Back
Top Bottom