Siku moja MWANAMKE mmoja tajiri
aliandka kwenye FACEBOOK Accont yake akasema kwamba
''ANAHITAJI MWANAUME AMBAE
HATOMPIGA WALA KUKIMBIA NA HELA
ZAKE'' baada ya mda alipata comment
nying sana toka...
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka[emoji250],
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka[emoji250],
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena...
Moyo jamani moyo!!!
Mwenzenu nimetokea kumpenda Dreva wa Bodaboda hadi najisikia akili inadundadunda.
N mwanamme mpole, ana kamzuzu kwa mbali, mweusi, mnene kiasi, mrefu, akicheka ana kamwanya...
Kesho asubuhi na mapema naenda nyumbani dom city. Naenda kuwa mwanaume wa mkoani kwa kipindi cha miezi miwili na baada ya hapo nitakuwa mwaname wa dar tena. Naweza sema mimi ni half-cast wa...
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?
MKAKA: Samahani...
_*Nawasalimia [emoji68]WASICHANA [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia WASICHANA weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa...
Habari wanajamvi?
Leo katika kuperuzi peruzi u-tube nikakutana na interview moja aliyofanyiwa msanii, muongozaji na muandaaji nguri wa kimataifa wa filamu za action Aston Barnabas aka Vanbrado...
Kumekuwepo na upotoshaji mkubwa sana wa watu kuchanganya NGURUWE na KITIMOTO... Kwa taarifa yako hivi ni vitu viwili tofauti..
NGURUWE ni mnyama mmoja mweupe mchafu mchafu ambaye anapatikana sana...
La Hedi Ticha.
Wengine wakaona kama habari zina cheleweshwa nao wakapandisha Posts za kumhimiza Greyson Msigwa awasomee habari kutoka Ikulu.
Le mapaziaz, Le Mashukaz naye hakuwa nyuma.
Hello wana Chit chat,
Nipo mapumzikoni na nimeona nipumzike kidogo na nipo kistarehe zaidi. Nafikiri hapa ndipo kwenye jukwaa halisi la kupata burudani ya kila aina.
Nilikuwa nafikiria kwa...
Habari wanajamvi.
Hebu leo tufanye mahojiano na hawa wazee maarufu, yani wazee wa mawe aka wazee wa ndogo aka wachimba mitaro wana aka nyingi kwa kuzitaja chache. Hebu tuambiee siku ya kwanz...
Habari zenu wakuu, hope mko poa .
Ebwana straight to the point, Mimi ni aspiring filmmaker (director) . Na kwa muda sasa nmekua nafanya research juu ya hizi movie zetu #bongomovie na kuangalia...
Tumsifu yesu Kristu!
Ee bwana mimi nikienda kanisani huwa najikuta natamani sana kuwa padre, naona kama mapadre ni ma role model wangu, Najikuta nafanya imagination nyingi za kipadre!
Sitaki...
Habari zenu wakuu..niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna watu humu wanakua wanaponda sana wadada wa jf kwamba hamna kitu sijui wengi umri umeenda na maneno mengi yasiyo ya kweli.
Lakini kwa...
Huyu mama siyo wa kiwango cha kitoto kitoto, uwezo aliopewa na Mungu ni mkubwa sana
Nimesikiliza huu wimbo kwenye movie ya Deadpool hadi nkafurahi
CC: Wick , Bujibuji , Red Giant , Da'Vinci
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.