JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wengi watapinga ila walishakosea either kutokana na giza au papara, Sasa kama ulishawahi kukosea kuja utuambie reaction ya mwenzio ilikuaje?[emoji23] ulikula kofi au alikazia Binafsi mimi...
4 Reactions
392 Replies
15K Views
Nimebahatika kuishi na kufanya kazi na wazungu. Kwa kweli licha ya neema ya chakula waliyo nayo wazungu ni wachoyo mno wa chakula. Nilijifunza kusema hapana asante hata kwa kikombe cha chai...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na...
1 Reactions
122 Replies
16K Views
Habari za weekend wakuu. Kumekuwa na kamsema ambako kanaashiria hali ngumu ya maisha "vyuma vimekaza" lakini kuna watu bado wanatumbua maisha kama kawa. Kwahiyo basi nashauri kila mtu akiona...
6 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Jana nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nimepata uhamisho kikazi kwenda katika mkoa wa simiyu wilaya ya meatu. Kwa wale wanaoifahamu naombeni mongozo wenu wa kufika meatu, gari gani nipande?, nitafika siku moja...
0 Reactions
10 Replies
624 Views
I would love to visit Tanga come December. Any tips/places I can visit/stay Thank you Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
892 Views
The ultimate diss track - Vifuu Tundu. Nadhani ni miaka 7 sasa [kama sijakosea] tokea AT atone ngoma yake hiyo akiwadiss Offside Trick. AT ni mshairi mzuri sana na naamini yuko underrated. This...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sijui niseme nini..Darling unanipa furaha ambayo sidhani kama kuna binadamu mwingine anapata katika hii dunia wewe unajua hili ila acha leo niitangazie dunia, umekuwa mhimili wangu wangu mkuu...
18 Reactions
1K Replies
40K Views
Kijana mtanashati mtaani kwetu aliyekuwa jogoo wa mtaa kwa mabinti zetu, siku hizi kabadilika sana tabia na mwenendo wake wa maisha. Bar kaadimika, mara kadhaa nimemuona akiingia kwenye nyumba za...
16 Reactions
72 Replies
6K Views
wadau! Amani iwe nanyi! nini huwezi kabisa kabisa kati ya haya chini 1.kukaa bila simu kwa miezi mitatu 2.kukaa bila kufanya mapenzi kwa miezi mitatu 3. kukaa bila pesa kwa miezi mitatu
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa miaka kadhaa toka nikiwa mtoto mdogo hadi leo hii nimekua sili Kitimoto Japo mimi ni Mkristo mkatoriki wa kuzaliwa. Hii ilitokana na sababu zangu binafsi na sheria kwenye biblia ya...
3 Reactions
175 Replies
16K Views
Kwa hali yangu hii ya ujauzito, leo nimeamka na hamu kubwa ya kula vitumbua. Nimepita kwa mama mchoma vitumbua (vizuri sana), nimemsalimia, hakuitikia, nikaona isiwe shida. Kwa kuwa najua bei ya...
15 Reactions
112 Replies
7K Views
Tuambie unalala saa ngapi na pia unaamka saa ngapi? Binafsi ni hivi kila siku Kulala kuanzia 5:00usiku na kuendelea Kuamka 11:15alfajiri Nishazoea kiasi kwamba sihitaji alarm Kwako ikoje ratiba
4 Reactions
62 Replies
8K Views
Niaje mabibi na mabwana hopefully y'all doing okay! Aight let's go... Mada ni hii kwa wewe mwanamke mlimbwende kabisa ni kitu gani unaangalia kwa mwanaume kwa mara ya kwanza pale anapokutongoza...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Waungwana hii kitu isikie tu kwingine usiombe yakukute! mara ya kwanza kutaitiwa na vibaka ilikuwa 2010. nimetika klabu bwaxx bwaxx! nikajikaza mdomdo kuelekea homu nikazime huko! navuka reli...
19 Reactions
93 Replies
10K Views
Umetulia ZAKo KWENYE Sherehe na MTOTO mkali Unamtongoza maraa MAMAAKO anakuja na Sahani Limeja wali "WEKa Kwenye RAMBO kubwa Mkale na WADOGo zako mie LEO sipiki Tena na OLE WAKO Ule Njiani "...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu hivi inawezekana kufuta sms za wasap ambazo mtu au watu wametuma, kwenye group na maadmin mkaona hazina maadili? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
727 Views
Habari za siku Ndugu, Kwa wenye uzoefu nisaidieni wapi naweza Kupata Container Used, Gharama za Kununua na Gharama za Kusafirisha Dar mpaka Arusha!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF. Nimefurahi baada ya kumaliza kutumikia kifungo changu cha siku tatu baada ya kupata ban. Ki ukweli sikuwa na raha kabisa kwa kutopata fursa ya kushiriki kikamilifu kwenye...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom